Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
20230521_102051.jpg
 
... jana nilikuwa nimepumzika zangu nikijitazamia mashindano ya kuogelea ngazi ya taifa yakihitimishwa kwenye bwawa la kuogelea kule IST. Ilinitafakarisha sana.
 
Kama wewe baba yako hakutafuta hela zitafute wewe watoto wako wasije kulalama kama baba yao.

Wivu uwe wa maendeleo sio wa kurudishana kwenye madarasa ya matope Mpwayungu Village wewe!! Antananarivo mkubwa!! Muone ulivyofananana na Czechslovicia .

Acha tulambe asali walizolina wazee.
 
Physical appearances tu za watoto wanaosoma kwenye shule hizi zinajieleza na ziko tofauti na wanazosoma madogo kaq huyu aliyebebwa na bwana fedha
 
Bora kusomesha English Medium kuliko hizi shule za hovyo.
Mbona kipindi tunasoma haikuwa hivi, madarasa yalikuwa yanatosha, madawati, vitabu vya kutosha. Ila siku hizi hali ni tete.
 
Taifa haliko makini kufuatilia elimu ya watoto wa masikini
 
Ni kama gereza, ndani kiza. Very unconducive environment
Sijui huwa waqonaje ubaoni nilichungulia humo ni giza tupu ukitazama matokea ya watoto wanaosoma humu wengi wastani wao ni c kushuka chini
 
Back
Top Bottom