AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Pesa haiwezi kununua furaha wala upendo zaidi inaweza fanya uvumiliwe au uletewe maigizo
Umesema vizuri mkuu. Pesa inaweza kuleta faraja na kuvutia watu, lakini upendo wa kweli na furaha ya ndani haviwezi kulazimishwa kwa pesa.Pesa haiwezi kununua furaha wala upendo zaidi inaweza fanya uvumiliwe au uletewe maigizo
Uhai, Uzima yaani husumbuliwi na afya......Hivyo vitu ambavyo havinunuliwi kwa pesa vinanunuliwa Kwa Nini?
AfyaKitu gani kina thamani unafikiri kinaweza kuishinda pesa?
Ukiwekewa bilioni 1 mezaniKitu gani kina thamani unafikiri kinaweza kuishinda pesa?
Huo ni mfano wa wazi kabisa. Pesa inaweza kusaidia matibabu na kuongeza nafasi ya kuishi, lakini haiwezi kutoa guarantee ya uhai. Ndio maana afya na uhai ni vitu vya thamani ambavyo pesa haiwezi kuvihakikishia kabisa.Uhai, Uzima yaani husumbuliwi na afya......
Sasa mfano mtu anayefanyiwa dialysis kila wiki unasemaje?
Kuna jamaa figo zilifeli wakaweka 45M mezani na figo hakupata sasa hivi ni marehemu!
Kabisa, afya ni mfano mkubwa. Pesa inaweza kugharamia matibabu, lakini haiwezi kununua afya kamili wakati wote. Afya njema yenyewe ni utajiri.Afya
Bilioni 1 bila afya njema haina ladha yake. Ningeichagua afya kwanza; pesa inaweza kutafutwa, lakini afya ikiharibika si kila tatizo linatatuliwa kwa pesa.Ukiwekewa bilioni 1 mezani
na kisukari mwilini au uwe ulivyo utachagua nini?
Ingekuwa kila kitu ingesaidia usifePesa ndio kila kitu kwenye haya maisha....
pesa ni silaha
Kabisa. Kama pesa ingeweza kununua kila kitu, basi kifo kingekuwa na bei. Lakini kuna mipaka ambayo hata utajiri mkubwa hauwezi kuivuka.Ingekuwa kila kitu ingesaidia usife
Upo sawa, huwezi kusema pesa ndio kila kitu, pesa ni moja ya sehemu kwenye maisha yetu.Kabisa. Kama pesa ingeweza kununua kila kitu, basi kifo kingekuwa na bei. Lakini kuna mipaka ambayo hata utajiri mkubwa hauwezi kuivuka.
Chivayo hela alikuwa nayo, mbona haijazuia mauti yake?Ingekuwa kila kitu ingesaidia usife
Tena alikuwa anaingia mahali anataka, na alikuwa na uwezo wa kutibiwa popote anapotaka, ila amemwacha mtu mmoja asiye na uhakika wa kula mchana wa leo.Chivayo hela alikuwa nayo, mbona haijazuia mauti yake?
Money is not everything!!!
Indeed 🙏🏽We care enough to discuss it. If it doesn't interest you, no worries—others may find the lesson useful.
Indeed 🙏🏽 Mungu ni mwema, kila jambo kwa wakati wake. Tuwe na subira na imani.Indeed 🙏🏽