Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

Jifunze kuishi na watu mkuu waswahili wanasema jifunze kula na kipofu watu tupo tofauti "nobody is perfect" hiyo hali chukulia kama udhaifu wake hapo sahivi unaongea ivo kwakuwa umekaa kwenye maokoto mambo yamenyooka unasahau ulipotoka ila sishangai kwa binadamu wasio na fadhila ni kawaida sana.

Hii kwenye saikolojia ni kawaida sana watu wakimsaidia mtu akitusua lazima ajitambe na atoe mfano kwa wengine huwa wanajisikia amani sana.

Binafsi mzee wa ivo me ningekuwa nikikutana nae tu namjaza mzee shikamoo aisee mzee umenitoa mbali bila wewe sijui ingewaje Mungu akuweke sana kama kuna staff wengine unasema kwa sauti aisee bila huyu mzee nisingekuwa hapa mpka nimejenga na kuwa biashara za hapa na pale ni jitihada za huyu mzee naweza sema amekuwa kama baba kwangu mbona simple.Unamjaza tu kwa maneno ya hapa na pale na yeye anasikia raha then unaendela na mambo yako

Ila nilichokiona wewe na wenzio mmesahau mlipotoka na kuota mapembe na kwako na wenzio huyo mzee mnamuona jau kwakuwa masikin akipata matako hulia mbwata.

Usimchukulie simple mtu aliyekutoa matopeni na kukupa maisha ndio watu kama hao hutumwa na Mungu

Me watu walinigusa wakati wa shida nawaheshimu sana au mtu atokee anipe mchongo aisee kwangu atakuwa Mungu wakitoka Mungu mwenyewe na wazazi.

All in all hapa umeandika tu kusema unathaamin mchango wake lakini deep down sio kweli unamuona mzee watu jau.
hawezi kuwa perfect kwangu kwa 100% ilo lipo wazi na pia ye sio mungu kusema yupo sahihi kwenye kila kitu...nimejaribu kushare jambo ambalo wengi wanalipitia.

kama utachukulia negative ni wewe na kama ni positive ni wewe pia ila sio sawa kujivisha umungu mtu kisa umemsaidia mtu
 
Kikubwa n kufocus na mambo yako na epuka sana kumuongelea huyo mtu
nje ya hii platform hamna sehemu namuongelea na tunamiaka 10 kazini pamoja kama familia tu..
nimejaribu kushare ile experience tunazopia katika utafutaji ndo mana ninakubali mchango wake kwangu.
 
nje ya hii platform hamna sehemu namuongelea na tunamiaka 10 kazini pamoja kama familia tu..
nimejaribu kushare ile experience tunazopia katika utafutaji ndo mana ninakubali mchango wake kwangu.
We fanya mambo yako usimnyenyekee sana mwisho wa siku atataka na mshahara uwe unamgawia kwa sababu alikukonekti
 
Ndio utulie, kwanini hupendi watu wajue kama alikusaidia.
Bragging rights ni zake na muachie.....
Let him brag
10 yrs kazini na bado nimetulia,usichulie kwenye negative nimejaribu ku-share hii scenario ni watu wengi inawakuta na inawakata pia
 
Ndio maana wanasemaga shida huwa zipo tu na huwa ni relative Sana. Ukute mwanzo hukuona hili kama ni tatizo na wewe lengo lilikuwa ajira so ukawaza hata mtu akuseme na ajisifu vipi hutajali we muhimu akupe mchongo wa ajira, sasa ajira umepata unaanza kukereka na vitu vingine(vidogo vidogo).....

Shida haziji kwisha maisha ya binadamu. Nakuhakikishia we hata mzee asipofanya hivyo kitatokea kingine kitakukera hapo kazini. Dawa ni kuachana navyo tu

Au nikuulize mkuu, ukiambiwa uchague mzee akusaidie ajira alafu akutangaze au asikusaidie ajira kwa sababu anakutangaza utachagua nini
Binadamu tunasahau sana tumetoka wap chief umeongea point sana kwa hili
 
Mtu huyohuyo kakutafutia kazi ukiwa jobless alafu huyohuyo hapendi maendeleo yako?
Very interesting!
Inatokea hii mkuu ni wachache anaweza akakusaidia na akakubali umzidi na bado akafurahia mafanikio. Yako lkn wengi huwa wanatamani kuona hta km amekusidia basi usimuovertake kwenye mafanikio
 
Back
Top Bottom