Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

hawezi kuwa perfect kwangu kwa 100% ilo lipo wazi na pia ye sio mungu kusema yupo sahihi kwenye kila kitu...nimejaribu kushare jambo ambalo wengi wanalipitia.

kama utachukulia negative ni wewe na kama ni positive ni wewe pia ila sio sawa kujivisha umungu mtu kisa umemsaidia mtu
 
Kikubwa n kufocus na mambo yako na epuka sana kumuongelea huyo mtu
nje ya hii platform hamna sehemu namuongelea na tunamiaka 10 kazini pamoja kama familia tu..
nimejaribu kushare ile experience tunazopia katika utafutaji ndo mana ninakubali mchango wake kwangu.
 
nje ya hii platform hamna sehemu namuongelea na tunamiaka 10 kazini pamoja kama familia tu..
nimejaribu kushare ile experience tunazopia katika utafutaji ndo mana ninakubali mchango wake kwangu.
We fanya mambo yako usimnyenyekee sana mwisho wa siku atataka na mshahara uwe unamgawia kwa sababu alikukonekti
 
Ndio utulie, kwanini hupendi watu wajue kama alikusaidia.
Bragging rights ni zake na muachie.....
Let him brag
10 yrs kazini na bado nimetulia,usichulie kwenye negative nimejaribu ku-share hii scenario ni watu wengi inawakuta na inawakata pia
 
Binadamu tunasahau sana tumetoka wap chief umeongea point sana kwa hili
 
Mtu huyohuyo kakutafutia kazi ukiwa jobless alafu huyohuyo hapendi maendeleo yako?
Very interesting!
Inatokea hii mkuu ni wachache anaweza akakusaidia na akakubali umzidi na bado akafurahia mafanikio. Yako lkn wengi huwa wanatamani kuona hta km amekusidia basi usimuovertake kwenye mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…