DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Navyojua mimi ulemavu ni kuwa na kiungo ambacho hakifanyi kazi (kimelemaa, either partially or fully)...Unautafsirije ulemavu? Ulemavu ni kupunguka ama kukosekana ama kutotimia kwa kiungo/viungo fulani mwilini tangu kuzaliwa ama kutokana na matendo ya binadamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app