wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
Mimi nu mrefu, mavidole ya mikono na miguu marefu...lakini sasa huko chini...BONGE LA KIBAMIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji85]Duuuh,, sipati picha hiyo pacha yake ikoje..
Were Mshana we Mshana,Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji23]kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone....!!!!
Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho
NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Were Mshana we Mshana,
Naona unaanza kupigia promo style ya kuvaa mabuti na kutembea mikono mfukoni ili kujikinga na wadukuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na umbile la jicho sijui linashabihiana na nn maana hakuna jicho la siri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee... Nilikuwa nacheka sana kipindi nafanya biashara ya nguo za ndani hasa za kiume.
Wanaume wanaipenda kuvaa chupi wana tofauti na wanaume wanaopenda kuvaa boxer.
Hebu wewe mwanaume jichunguze unapendelea chupi au boxer kisha angalia maumbile yako yapoje.
Unachosema ni kweli kuhusu vidole vya mikono, hili nimelishuhudia kwa baba watoto.
Midomo ya Kitanga ( muheza,handeni)[/QUOTE]nampenda sana
![]()
Dah, huyu Ummy ni bonge la mdada yani. Hivi hayupo MMU?[/QUOTE]Midomo ya Kitanga ( muheza,handeni)
Dah, huyu Ummy ni bonge la mdada yani. Hivi hayupo MMU?[/QUOTE]Midomo ya Kitanga ( muheza,handeni)
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][QUOTE="mshana jr, post:
Hata mie namuelewa sana huyu bishosti wa kitanga,hivi kaolewa au yuko singo?[/QUOTE]Dah, huyu Ummy ni bonge la mdada yani. Hivi hayupo MMU?