Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Kuna viungo vya mwili lazima vifanane

Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips [emoji182] nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji23]kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone....!!!!
Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho

NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
Were Mshana we Mshana,
Naona unaanza kupigia promo style ya kuvaa mabuti na kutembea mikono mfukoni ili kujikinga na wadukuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee... Nilikuwa nacheka sana kipindi nafanya biashara ya nguo za ndani hasa za kiume.

Wanaume wanaipenda kuvaa chupi wana tofauti na wanaume wanaopenda kuvaa boxer.

Hebu wewe mwanaume jichunguze unapendelea chupi au boxer kisha angalia maumbile yako yapoje.
 
Aiseee... Nilikuwa nacheka sana kipindi nafanya biashara ya nguo za ndani hasa za kiume.

Wanaume wanaipenda kuvaa chupi wana tofauti na wanaume wanaopenda kuvaa boxer.

Hebu wewe mwanaume jichunguze unapendelea chupi au boxer kisha angalia maumbile yako yapoje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachosema ni kweli kuhusu vidole vya mikono, hili nimelishuhudia kwa baba watoto.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nampenda sana
ummy-mwalimu2.jpg
Midomo ya Kitanga ( muheza,handeni)[/QUOTE]
Dah, huyu Ummy ni bonge la mdada yani. Hivi hayupo MMU?
 
[QUOTE="mshana jr, post: [/QUOTE]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]



Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Mkuu Jibu swali langu. Ummy is so pretty, sio dhambi kusifia uzuri, japo kanizidi umri lakini nisingejali sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji125]
 
[QUOTE="mshana jr, post:
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]



Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

Mkuu Jibu swali langu. Ummy is so pretty, sio dhambi kusifia uzuri, japo kanizidi umri lakini nisingejali sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji125][/QUOTE]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] umenifanya nimkumbuke Kikwete...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom