Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Unamanisha Nini kusema yanga wapo vizuri?kiuchumi au kushinda kwa makando makando,naweza kusema kwasasa serikalini kumejaa watu wengi wa yanga,kuanzia ridhiwan mzee kikwete,mwigulu nchemba,lakin hata hatokaa milele,Kuna mda wataondokaMO alitamba na Simba baada ya kumtumia Makonda kumwangamiza Manji.
MO ametamba baada ya Manji kufanyiwa fitina na mshauri wa MO ndugu Makonda na Simba ikatamba mbele ya Yanga inayo tembeza bakuli.
Kwa Sasa Yanga wapo vizuri, ata ikitokea MO aungane na Barekhsa wa Azam hawana uwezo Tena uwezo wa kuiangusha Yanga.
Swala la Makombe msahau labda Tff wafanye Yale mambo ya Tatu Malogo kule Tanga.