Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Muda utaongea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utaongea...
yeah ni suala la muda tuMuda utaongea...
Sio Vifungu vya katiba wala vifungu vya nyanya kwa sasa ambavyo tunaweza kuvisikiliza ikiwa vinampa uhalali mamluki wenu aendelee kubakiLete vifungu vya katiba ya Simba hapa
Na as ling as ataendelea kuwepo basi hiyo ndio furaha yenu.Ngungu boy bado yupo sana tu
Umepigwa knock out hadi umekimbia hoja, umeambiwa Mo alipokuwa mwenyekiti wa bodi miaka minne mlitoka kapa, leo mmesikia amerudi mmepata kihoro eti mpo upande wa Mangungu kwa vile ni pandikizi lenuMlomchagua ni nyie na umbumbumbu wenu mkaletewa Manzoki mkampa mangungu kura za ndiyo, kwani yanga ndo walimleta Manzoki acheze kwenye mkutano mkuu.
Mo anawaibia jezi zimejaa matangazo kama gazeti la sani.
Mo ameweka 20 b wapi?
Uwekezaji hewa ndo mpo mnaufurahia.
Yanga ndo waliwafanya mbumbumbu mshangilie mafanikio ya kibegi, Whatsapp group.
Mbumbumbu komaeni kiakili adui yenu ni mo , mpeni team tuwapige 8
Simba haiwezi kuendelea kutegemea pesa za mo kila siku ni wakati wa kutumia kile walichonacho ili timu iweze kujiendesha., viongozi kama mangungu ambao wanaopigania timu kusimama bila hisani ya watu binafsi ni wa kuungwa mkonoNa as ling as ataendelea kuwepo basi hiyo ndio furaha yenu.
Sasa sisi tunakuja kuwaonesha utofauti
Bilioni 20 na iheshimiweKuna tajiri anaitaka Simba.
Ila kajificha.
Usajiri walioufanya Simba hapa karibuni ni wa Kimagumashi sana.
Kama muwekezaji wetu anaona haya mambo mimi namshauri achukue B.20 yake aiache timu kwa wawekezaji wa mpira wa miguu.
Kukumbushana kila siku mambo ya B.20 nadhani wadau wa Simba wamekinahi
Mo amerudi kutoka wapi na alikua ameenda wapi? huyu si juzi tu hapo alisema ameinunua timu miaka 4 iliyo pita ina maana baada ya kuinunua alimkabidhi Mangungu? MeTL ina branches ngapi ambazo Mo hayupo huko na zina operate vizuri? Mimi ni Simba tofauti yangu na wewe ni uelewaMshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?
Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.
Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Katika zile goli 5 goli lipi unaweza kusema ni ubovu wa kipa?Hii dun
Najua unajua mpira vizuri sana lakini umeamua kujito tu ufahamu kwa makusudi. Simba kufungwa na Yanga au hata Mashujaa si jambo la ajabu. Lakini kupigwa kile kipigo cha mbwa koko a.k.a kono la nyani halafu Cadena anakuja sema kulikuwa na shinikizo apangwe Manula ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kwa majeruhi wewe huoni hapo kuwa kilikuwa kuna usaliti wa ndani ya Simba.
Nani alimfukuza mo pale Simba.Umepigwa knock out hadi umekimbia hoja, umeambiwa Mo alipokuwa mwenyekiti wa bodi miaka minne mlitoka kapa, leo mmesikia amerudi mmepata kihoro eti mpo upande wa Mangungu kwa vile ni pandikizi lenu
Huyo ni mbumbumbu wa Rage hawezi elewaMo amerudi kutoka wapi na alikua ameenda wapi? huyu si juzi tu hapo alisema ameinunua timu miaka 4 iliyo pita ina maana baada ya kuinunua alimkabidhi Mangungu? MeTL ina branches ngapi ambazo Mo hayupo huko na zina operate vizuri? Mimi ni Simba tofauti yangu na wewe ni uelewa
Nafasi ambayo jana ametangaza kuirudia unajua alikiondoa katika nafasi hiyo kipindi gani?Mo amerudi kutoka wapi na alikua ameenda wapi? huyu si juzi tu hapo alisema ameinunua timu miaka 4 iliyo pita ina maana baada ya kuinunua alimkabidhi Mangungu? MeTL ina branches ngapi ambazo Mo hayupo huko na zina operate vizuri? Mimi ni Simba tofauti yangu na wewe ni uelewa
Nitajie timu iliyoweza kufanikiwa na kufikia malengo makubwa kwa kutegemea assets za Club bila mwekezaji.Simba haiwezi kuendelea kutegemea pesa za mo kila siku ni wakati wa kutumia kile walichonacho ili timu iweze kujiendesha., viongozi kama mangungu ambao wanaopigania timu kusimama bila hisani ya watu binafsi ni wa kuungwa mkono
Kama hiyo team haipo basi Mangungu ataifanya iwe ya kwanza.Nitajie timu iliyoweza kufanikiwa na kufikia malengo makubwa kwa kutegemea assets za Club bila mwekezaji.
Tunatia kiberiti kichaka Chenu mlichoficha mamluki.Kama hiyo team haipo basi Mangungu ataifanya iwe ya kwanza.
Mangungu ndo kila kitu simba subiri muhula wake wa uongozi iishe ugombee
Anarudi kwani alieahi kujiondoa Simba?Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?
Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.
Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Bila Mo kua mwenyekiti Simba haiwezi kufanya vizuri? na kama ni hivyo Try again karudishwa kufanya nini wakati ndio katufukisha huku? hakuna kipya kitakacho tokea hapa ni siasa za mhindiNafasi ambayo jana ametangaza kuirudia unajua alikiondoa katika nafasi hiyo kipindi gani?
Kwani hujui kuwa alijiondoa kwenye nafasi ya uwenyekiti?Anarudi kwani alieahi kujiondoa Simba?
Ninachojua alihamishia makaazi yake dubai na kuanza kupunguza baadhi ya shughuli zake nchini.
Anachokifanya Simba kwa sasa ni kutaka kuitumia kutafuta sympathy atakapoanza kunyang’anywa ardhi/mashamba aliyochukua ili kuiendeleza lakini hakiwahi kufanya hivyo. Anataka Simba wapige kelele kwa niaba yake.
Ili yote hayo ataipitisha alSimba kwenye vipindi vigimu sana huku akiweka Mazingira kuwa anapingwa. Mkija kustuka ndiyo mtagundua kwamba kumbe alikuwa anawachezesheni kama Joyce wowowo tu and Mangungu was right.