Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
AaahaaaaUtopolo kuweni na huruma basi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaaUtopolo kuweni na huruma basi,
Mkuu ebu fafanua zaidiUkiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Hakuna narudia tena hakuna shabiki/kiongozi wa Pan Africa akawa shabiki wa Simba kama ambavyo hakuna shabiki/kiongozi wa Red Star/Nyota Nyekunda akawa shabiki wa Yanga.
Naanza kuamini kuwa yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa huyu jamaa na baadhi ya wajumbe wa bodi wapo kwenye "payroll" ya jamaa wa upande wa pili na wanataka kumpa timu mdogo wa jamaa wa upande wa pili.
Mwanzoni nilipuuza zile goli tano nikiamini kuwa Simba alizidiwa na Yanga kiufundi nikawapuuza wale wote waliokuwa wanasema kuwa zile goli ni za mchongo. Lakini baada ya kusikia alichozungumza Cadena kuhusiana na Manula nikiunganisha na maneno anayotamka huyu mzee nimeshapata jibu zile goli zilitengenezewa wapi na pale uwanjani watu walikuja tu kukamilisha kazi iliyopangwa kiustadi sana.
Ni wakati sasa wa wanachama kuishinikiza BMT na serekali kwa ujumla iwaamuru hao mamluki waitishe mkutano wa wanachama ili wawaondoe kidemokrasia ili wakose visingizio.
Ni mtizamo tu
Hujui alikuwa wapi?Kwani huyo alikuwa wapi?
Yanga ndo walimtoa.
Yan mo awepo asiwepo mtapigwa 8
Wacha league ianze
Sina mwenyekiti mpuuzi kama yule mimiMbona unajitoa akili! Ina maana hujui kuwa Mangungu ni mwenuekiti wa Simba SC? Mangungu anatumia nafasi yake kufanya maamuzi ya wanachama waliomchagua. Kama unampenda huyo Mo, mchukue ukanywe naye chai.
Kama ya mbuzi
Sisi tulimchagua kwasababu ya sera zake.Ataendelea kuwa mwenyekiti wa Simba kwa mujibu wa katiba ya Simba, mlimchagua aongoze kwa miaka 4 na ubwabwa mlikula akawaletea manzoki yeye na Mo mkampa kura kiroho Safi Sasa mnabwata kitu Gani? Msubili miaka 4 ipite ndio atatoka na sio vinginevyo
Mlomchagua ni nyie na umbumbumbu wenu mkaletewa Manzoki mkampa mangungu kura za ndiyo, kwani yanga ndo walimleta Manzoki acheze kwenye mkutano mkuu.Hujui alikuwa wapi? Umejisahaulisha miaka yake minne akiwa mwenyekiti ni nini alifanya?
Najiuliza tu kwanini Yanga wote mko upande wa Mangungu na kushinikiza kwamba MO atoke?
Kwanini hamtaki MO apate full access kwenye timu?
Maana yake ni kwamba hampendi mafanikio ya Simba na ndio maana always mna opt worst opinions ili Simba isifanikiwe.
Siri kama ile hasara ya Kihasibu ya Aziz Ki kusajiliwa Yanga au ile Kibu ni bora kuliko Mayele?Huu ni mtazamo wangu pia. Kuna siri nzito
Mbona Jaribu Tena kabaki ambae mlikuwa mnalia hapa kuwa hamutaki na ni mamluki?Karudi kwenye nafasi yake na amepitisha fagio katimua mamluki wenu mliyokuwa mmewapandikiza.
Na ndio maana mmekasirika na bado upande wa Kipara nako si muda watatupa taulo.
Kama kashindwa kutimiza Sera subirini kipindi cheke kiishe mumchague mwingine,hiyo ndio demokrasia na si vurugu.Sisi tulimchagua kwasababu ya sera zake.
Kama hajatimiza lolote kwenye sera zake hatuwezi kusubiria miaka minne ya maumivu.
Hata wewe unaoa mwanamke kutokana na tabia uliyovutiwa naye, lakini baada ya kuishi naye siku chache ndani ya ndoa ukajua ni malaya anayejiuza.
Utatoa talaka au utavumilia miaka yote uishi kwa aibu huku ukisubiri kifo kiwatenganishe?
Katiba ya Simba inasemaje ebu tusomee iyo katiba kuhusu mwenyekiti kuondoka madarakaniSisi tulimchagua kwasababu ya sera zake.
Kama hajatimiza lolote kwenye sera zake hatuwezi kusubiria miaka minne ya maumivu.
Hata wewe unaoa mwanamke kutokana na tabia uliyovutiwa naye, lakini baada ya kuishi naye siku chache ndani ya ndoa ukajua ni malaya anayejiuza.
Utatoa talaka au utavumilia miaka yote uishi kwa aibu huku ukisubiri kifo kiwatenganishe?
Aliiba kura yule si mwana siasa afu umesahau kuwa ni CCM mwenzako yule?Mlomchagua ni nyie na umbumbumbu wenu mkaletewa Manzoki mkampa mangungu kura za ndiyo, kwani yanga ndo walimleta Manzoki acheze kwenye mkutano mkuu.
Mo anawaibia jezi zimejaa matangazo kama gazeti la sani.
Mo ameweka 20 b wapi?
Uwekezaji hewa ndo mpo mnaufurahia.
Yanga ndo waliwafanya mbumbumbu mshangilie mafanikio ya kibegi, Whatsapp group.
Mbumbumbu komaeni kiakili adui yenu ni mo , mpeni team tuwapige 8
Kwani wakati yanga anabeba kombe miaka 3 mfululizo uyo Mo alikuwa amekufa? Si alikuwepo? Yanga imuogope Mo kwa lipi? Mangungu mnayemlaumu ndiye anayeendesha operation za klabu? Katiba si mliipitisha nyie wenyewe baada ya kupewa vijisent na wengine kupewa ubwabwa? Mangungu ana mamlaka Gani kuhusu timu ya Simba kikatiba? Yeye kazi yake ni kufungua na kufunga mikutano tu basi ndio katiba mliyoipitisha mkiwa na akili zenu timamu, kwaiyo yeye sio fara Kama mnavyofikiria Muhindi wenu anataka kuwachafua wenzake wakati yeye ndiye kirusi namba moja ndani ya klabu!Hujui alikuwa wapi?
Hersi anajua, kamuulize Hersi ule msimu aliowaleta kina Sapong na mkambeba mabegani kuna ahadi alitoa kuwa usajili ule alioufanya wakikosa kombe aulizwe yeye.
Sasa usimuulize nani alichukua kombe ule msimu, ila muulize nani alikuwa mwenyekiti wa bodi ya Simba kwenye ule msimu.
Kamuulize Hersi ni lini Yanga ilikuwa na mipango ya kuwa one of the Giant Africa kabla ya MO Dewji kuweka hiyo ahadi kwa Simba?
Umejisahaulisha miaka yake minne akiwa mwenyekiti ni nini alifanya?
Najiuliza tu kwanini Yanga wote mko upande wa Mangungu na kushinikiza kwamba MO atoke?
Kwanini hamtaki MO apate full access kwenye timu?
Maana yake ni kwamba hampendi mafanikio ya Simba na ndio maana always mna opt worst opinions ili Simba isifanikiwe.
Hakuna kitu kama hicho, huo ni mwanya wa kuwakaribisha wapigaji wenye sera za uongo.Kama kashindwa kutimiza Sera subirini kipindi cheke kiishe mumchague mwingine,hiyo ndio demokrasia na si vurugu.
Alikuwepo wapi na katika nafasi gani?Kwani wakati yanga anabeba kombe miaka 3 mfululizo uyo Mo alikuwa amekufa? Si alikuwepo? Yanga imuogope Mo kwa lipi? Mangungu mnayemlaumu ndiye anayeendesha operation za klabu? Katiba si mliipitisha nyie wenyewe baada ya kupewa vijisent na wengine kupewa ubwabwa? Mangungu ana mamlaka Gani kuhusu timu ya Simba kikatiba? Yeye kazi yake ni kufungua na kufunga mikutano tu basi ndio katiba mliyoipitisha mkiwa na akili zenu timamu, kwaiyo yeye sio fara Kama mnavyofikiria Muhindi wenu anataka kuwachafua wenzake wakati yeye ndiye kirusi namba moja ndani ya klabu!
Katiba inasemaje kuhusu wajumbe kuitisha mkutano bar bila mwenyekiti?Katiba ya Simba inasemaje ebu tusomee iyo katiba kuhusu mwenyekiti kuondoka madarakani
Lete vifungu vya katiba ya Simba hapaHakuna kitu kama hicho, huo ni mwanya wa kuwakaribisha wapigaji wenye sera za uongo.
Watu watakuwa wanatoa sera za uongo wakijua hakuna wakuwatoa hata wasipotimiza maagizo ya wanachama.
Na sisi kama ndio tuliowaweka basi ndio tutaowatoa katika muda wowote ambao sisi tutaona wanastahili kutoka.
Ngungu boy bado yupo sana tuKama hayo maneno ni kweli kayatamka kweli basi hili wiki hamalizi akiwa mwenyekiti.