Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Zile goli tano zilikuwa za kinunuliwa mzee mbona hilo lipo wazi...Hujuma dhidi ya Simba sc ipo kwa viongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio anaweka hela we unaweka sauti is that really fair?OKW hebu fikiria Kwa kina Hali ilivyo. Wanachama Wenye 51% wanakosaje sauti dhidi ya Mtu mwenye 49%?
Halafu kinachoendesha timu Kwa Sasa ni katiba gani wakati mchakato wa ubinafisishaji haujakamilika?
Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?Mo akisema ana sajiri haonekani tatizo ila Mangungu anaonekana mbaya swali la kujiuliza mapato ya Simba yanaigia kwenye account ipi? Na hua ana andamwa ajihuzuru kwa kosa gani?
Kwani hao Utopolo ndio walimpigia kura?Utopolo kuweni na huruma basi,
Huyo OKW BOBAN SUNZU ni chawa wa Mwamedi hapa JFOKW hebu fikiria Kwa kina Hali ilivyo. Wanachama Wenye 51% wanakosaje sauti dhidi ya Mtu mwenye 49%?
Halafu kinachoendesha timu Kwa Sasa ni katiba gani wakati mchakato wa ubinafisishaji haujakamilika?
Na kipigo cha Mashujaa kilikuwa hujuma kutoka upande upi?Ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Hakuna narudia tena hakuna shabiki/kiongozi wa Pan Africa akawa shabiki wa Simba kama ambavyo hakuna shabiki/kiongozi wa Red Star/Nyota Nyekunda akawa shabiki wa Yanga.
Naanza kuamini kuwa yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa huyu jamaa na baadhi ya wajumbe wa bodi wapo kwenye "payroll" ya jamaa wa upande wa pili na wanataka kumpa timu mdogo wa jamaa wa upande wa pili.
Mwanzoni nilipuuza zile goli tano nikiamini kuwa Simba alizidiwa na Yanga kiufundi nikawapuuza wale wote waliokuwa wanasema kuwa zile goli ni za mchongo. Lakini baada ya kusikia alichozungumza Cadena kuhusiana na Manula nikiunganisha na maneno anayotamka huyu mzee nimeshapata jibu zile goli zilitengenezewa wapi na pale uwanjani watu walikuja tu kukamilisha kazi iliyopangwa kiustadi sana.
Ni wakati sasa wa wanachama kuishinikiza BMT na serekali kwa ujumla iwaamuru hao mamluki waitishe mkutano wa wanachama ili wawaondoe kidemokrasia ili wakose visingizio.
Ni mtizamo tu
Kwani alienda wapi labda na ni lini alijiondoa 5imba?Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?
Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.
Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Na wanatakiwa kutambua ya kwamba Mangungu amechaguliwa na wanachama. Na bila shaka hao ndiyo waliopo nyuma yake.Yuko sahihi
Mangungu ndo Mwenyekiti wa Simba
Kwani huyo alikuwa wapi?Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?
Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.
Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Huu ni mtazamo wangu pia. Kuna siri nzitoUkiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Hakuna narudia tena hakuna shabiki/kiongozi wa Pan Africa akawa shabiki wa Simba kama ambavyo hakuna shabiki/kiongozi wa Red Star/Nyota Nyekunda akawa shabiki wa Yanga.
Naanza kuamini kuwa yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa huyu jamaa na baadhi ya wajumbe wa bodi wapo kwenye "payroll" ya jamaa wa upande wa pili na wanataka kumpa timu mdogo wa jamaa wa upande wa pili.
Mwanzoni nilipuuza zile goli tano nikiamini kuwa Simba alizidiwa na Yanga kiufundi nikawapuuza wale wote waliokuwa wanasema kuwa zile goli ni za mchongo. Lakini baada ya kusikia alichozungumza Cadena kuhusiana na Manula nikiunganisha na maneno anayotamka huyu mzee nimeshapata jibu zile goli zilitengenezewa wapi na pale uwanjani watu walikuja tu kukamilisha kazi iliyopangwa kiustadi sana.
Ni wakati sasa wa wanachama kuishinikiza BMT na serekali kwa ujumla iwaamuru hao mamluki waitishe mkutano wa wanachama ili wawaondoe kidemokrasia ili wakose visingizio.
Ni mtizamo tu
Najua unajua mpira vizuri sana lakini umeamua kujito tu ufahamu kwa makusudi. Simba kufungwa na Yanga au hata Mashujaa si jambo la ajabu. Lakini kupigwa kile kipigo cha mbwa koko a.k.a kono la nyani halafu Cadena anakuja sema kulikuwa na shinikizo apangwe Manula ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kwa majeruhi wewe huoni hapo kuwa kilikuwa kuna usaliti wa ndani ya Simba.Na kipigo cha Mashujaa kilikuwa hujuma kutoka upande upi?
Ngungus Boy shikilia hapo hapo sababu unaongoza mbumbumbu wasiojitambua.
Ataendelea kuwa mwenyekiti wa Simba kwa mujibu wa katiba ya Simba, mlimchagua aongoze kwa miaka 4 na ubwabwa mlikula akawaletea manzoki yeye na Mo mkampa kura kiroho Safi Sasa mnabwata kitu Gani? Msubili miaka 4 ipite ndio atatoka na sio vinginevyoKama hayo maneno ni kweli kayatamka kweli basi hili wiki hamalizi akiwa mwenyekiti.
Kwaiyo aliyempangia cadena kipa ni mangungu? Kwanini asiwe Mo?Hii dun
Najua unajua mpira vizuri sana lakini umeamua kujito tu ufahamu kwa makusudi. Simba kufungwa na Yanga au hata Mashujaa si jambo la ajabu. Lakini kupigwa kile kipigo cha mbwa koko a.k.a kono la nyani halafu Cadena anakuja sema kulikuwa na shinikizo apangwe Manula ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kwa majeruhi wewe huoni hapo kuwa kilikuwa kuna usaliti wa ndani ya Simba.
Mlizidiwa shekhe acha kujitoa ufahamuUkiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Hakuna narudia tena hakuna shabiki/kiongozi wa Pan Africa akawa shabiki wa Simba kama ambavyo hakuna shabiki/kiongozi wa Red Star/Nyota Nyekunda akawa shabiki wa Yanga.
Naanza kuamini kuwa yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa huyu jamaa na baadhi ya wajumbe wa bodi wapo kwenye "payroll" ya jamaa wa upande wa pili na wanataka kumpa timu mdogo wa jamaa wa upande wa pili.
Mwanzoni nilipuuza zile goli tano nikiamini kuwa Simba alizidiwa na Yanga kiufundi nikawapuuza wale wote waliokuwa wanasema kuwa zile goli ni za mchongo. Lakini baada ya kusikia alichozungumza Cadena kuhusiana na Manula nikiunganisha na maneno anayotamka huyu mzee nimeshapata jibu zile goli zilitengenezewa wapi na pale uwanjani watu walikuja tu kukamilisha kazi iliyopangwa kiustadi sana.
Ni wakati sasa wa wanachama kuishinikiza BMT na serekali kwa ujumla iwaamuru hao mamluki waitishe mkutano wa wanachama ili wawaondoe kidemokrasia ili wakose visingizio.
Ni mtizamo tu
Karudi kwenye nafasi yake na amepitisha fagio katimua mamluki wenu mliyokuwa mmewapandikiza.Kwani alienda wapi labda na ni lini alijiondoa 5imba?
Tupo hapa tunasubiri msimu ujao uanze halafu tuone huyo Gabachori ataifanya nini Yanga.