Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tunapima hilo kupitia comparison kati ya kipindi ambacho alikuwa mwenyekiti na kipindi ambacho alijiondoa kwenye hiyo nafasi.Bila Mo kua mwenyekiti Simba haiwezi kufanya vizuri? na kama ni hivyo Try again karudishwa kufanya nini wakati ndio katufukisha huku? hakuna kipya kitakacho tokea hapa ni siasa za mhindi
Kupitia kipimo hicho We have come to the conclusion kwamba MO akiwa mwenyekiti ndio Simba inafanya vizuri.
Lakini pia kupitia hata maoni yenu ya mashabiki wa Uto kumkataa MO ni ishara kuwa MO ndio option sahihi kwa maendeleo ya Simba.
Kwasababu there's no way Utopolo akapenda kuiona Simba ikiwa imara.