kuna wabongo wanaingiza milioni 5 mpaka 20+ kwa blogging, nilitaka nilambe asali nikatapeliwa laki 3 , nilifatlia zaidi nikaona kazi ina mambo meusi.

Kuhusu milion 5 mpaka 20+, naona kama nimambo ya kusadikika.
Ebu tueleze hizo mambo nyeusi ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…