Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

Kura hazipigwi kuonyesha mgawanyiko bali support na trust ya wananchi kwa mgombea, unaweza ukasimikwa na utawala kwa nguvu lkn ukakosa ushirikiano toka kwa wananchi.
 
Kura hazipigwi kuonyesha mgawanyiko bali support na trust ya wananchi kwa mgombea, unaweza ukasimikwa na utawala kwa nguvu lkn ukakosa ushirikiano toka kwa wananchi.
Wagombea wako wawili, kundi moja linamu-support mgombea A na kundi jingine tena mgombea B. Huu siyo mgawanyiko?
 
Mtu amewekwa magereza kwa siku 414 kwa kubambikiwa kesi ya madawa ya kulevya, unaachiwa na unaambiwa huna hatia hukutenda kosa lolote! Mlitarajia aongee lugha ya kusifu watesi wake.? Nyani ni walewale wala mahindi shambani. Umewafumania, wakiwa shambani wanakimbia ukaua Kiongozi wao, baadae wanateua nyani mwingine toka kundi hilohilo kuwa kiongozi, Safari hii jike. Ndio Wataacha kula mahindi shambani??. Hakuna kucheka na nyani tutavuna mabua. Hapa ni kuwakimbiza tuu speed 300/hr kwa silaha yoyote mpaka wakome kula mahindi shambani. Mdude katumia lugha nyepesi sana. Mbona katoa tu mfano wa kweli wa Rais mwanamke Banda alietawala baada Kifo cha Rais Mutharika. Wahafidhina walimshauri vibaya na kura ilipokuja alinyolewa. Tuwe wakweli.
 
100% leo nimekutana na Mdude hapa!

Wewe ni mnywa gongo na mla bangi no moja, mtu mwemye akili, hizo siku 414 angezitumia kujisuka na kujiimarisha kisiasa ili badaye awe anapotakiwa, kwa sababu wewe ni fyatu, basi unafyatuka tu bila kupima usemacho kama kitakuletea madhara badaye!

Jinga sana wewe
 
Jinga wewe na wa kwenu wote. Wewe si unasimamia tumbo lako ndio maana umepigwa upofu wa ubongo hujui jema na baya. Utavuna ulichopanda. Aliekupa hicho kichwa yupo wapi? Angalia wenzako Arusha kinachowakuta. Munio.
 
Jinga wewe na wa kwenu wote. Wewe si unasimamia tumbo lako ndio maana umepigwa upofu wa ubongo hujui jema na baya. Utavuna ulichopanda. Aliekupa hicho kichwa yupo wapi? Angalia wenzako Arusha kinachowakuta. Munio.
Kwanza kabisa sjawahi kujuta, mjinga kumwita mjinga..! sijawahi kabisa kujuta, Wewe ni mjinga na pumbavu, Na usipojirekebisha mjinga wewe kwa matusi yale kutukana viongozi, bado hujamalizana na magereza pumbavu wewe
 
Huyo Ahmed shabiby mbona ni bonge la mbunge....alafu wanalikubali sana wanaGAIRO, limewaletea maendeleo makubwa....Au ni uongo!!
 
Kikwete aliporuhusu kuandikwa kwa katiba mpya 2014 kuna mtu aliandamana.
Kama Rais mwenye maono aliona ni wakati sahihi kuanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kusikiliza maoni ya wananchi.

Nikukumbushe tu. Yaliyoandikwa kwenye rasimu ya tume ya Warioba ni mapendekezo ya wananchi na sio ya CHADEMA wala wapinzani tu.

Ila CHADEMA wanapolazimisha Katiba mpya wanayoitaka wao wananchi tuitafute kwa jasho na damu kwa ajili ya kuwanufaisha wao wanakosa sapoti ya umma.
 
Watu bana 🤣🤣🤣 yaan mleta mada kaweka na vifungu vya sheria kbs, still huon
Hakuna kifungu pale

Kupita bila kupingwa hakujaanza Leo

Ukikosa mpinzani Haina maana hujashinda

Mna mawazo vimini
 
Uchaguzi gani bila Katiba na tume huru! Mungu kaondoa jitu, ili wajifunze kuheshimu wananchi, wakikomaa Mungu anarudi.
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Ni Fundi
Mungu Anajua
Hata Ccm Inajua Kuwa Kiburi Kibaya
 
Angalia vizuri bandiko langu. Nimetaja hayo mambo ambayo yanaweza kumshawishi mwananchi wa kawaida kuingia barabarani.

Suala la katiba limekaa kisiasa. Na ipo siku vijana watafanya reformation kwa sababu ya kuwachukia wanasiasa (wote).
Hicho unachokiita katiba ya kisiasa(tume huru,siasa safi na demokrasia,maandamano nk) kama vikiwepo maana yake kutakuwepo na sheria zinazomuhusu mtanzania wa chini kama ilivyoada ili pale mahitaji hayo ya muhimu yatakapokanyagwa na watawala wananchi watakuwa huru kupinga

Sasa hiyo katiba unayoiita ya kisiasa isipokuwepo unadhani mtanzania yupi atakayekuwa na ubavu wa kusimama kinyume na watawala??
 
Mchonga hakuwa na wapinzani lakini bado alipigiwa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…