Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

Wapi Chadema wamesema wanalazimisha katiba wanayoitaka wao, usipotoshe.
 
Watetezi wa katiba wakafungue kesi mahakamani kuhoji uhalali wa hao wabunge.
2018 wahuni kina Ndugai walishaupiga pini huo mwanya kwa kufanya marekebisho kwenye sheria, watu wangekuwa walishajitokeza siku nyingi tu.

Lakini je kipindi cha mwendazake nani angediriki kuweka maisha yake rehani namna hiyo ?
 
Kwahiyo unashauri Nini?
Bunge lifutwe.Halin msaada kwa walala hoi.Asilimia kubwa ya wabunge kwa sasa hawakutokana na kura za wananchi bali ni matakwa ya TUME ya uchaguzi
 
Bunge lifutwe.Halin msaada kwa walala hoi.Asilimia kubwa ya wabunge kwa sasa hawakutokana na kura za wananchi bali ni matakwa ya TUME ya uchaguzi
Umeshawahi kuwaza haya ukiwa sober?
 
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Imagine CCM wanatumia zile ndege za serikali katika shughuli zao za kila siku za kichama kana kwamba ni mali ya chama!
 
Hata tukipata katiba mpya, WAPINZAN wenyewe kama ni hawa skins mbowe,lipumba,mbatia n.k hawatatufikisha popote,ji waganga Njaa tuuh,

wapinzani wengi Sana waliohama na kuhamia ccm kuunga mkono juhud za mwendazake unadhan wanastahili Tena kuaminiwa??

NYalandu anahama CCM anaenda chadema,Hana hata mwez chadema wanampa nafas agombee Urais wa NCHI,baadae wakampa nafas agombee ubunge,muda mfupi baadae anahama anarud kule kule ccm KWA sababu na hoja za kifala kifala,kuna WAPINZAN hapo??
 
Hivi kwa hayo majimbo ya mkoa wa Morogoro inakuaje mtu anapita bila kupingwa??

Je ni sababu tosha kwa mkoa huo kutoendelea?

Yani majimbo 5 yote hakuna watu mbadala?
Morogoro ukiwapa bure bus maalum kwa ajili ya kwenda kuzika wapendwa wao wanakuteua uwe mbunge wao wa maisha.
 
Kiukweli ule uchaguzi ulitawaliwa na kila aina.ya rafu mkuu toa hata kidogo tumjadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…