Kuna wadada humu wananichanganya roho

Teh Teh...hivi unajua kuna baadhi yao hapo ni wanaume? Nasikitika kukutangazia kwamba wewe si member mgeni bali ni member mwenye Id mpya kama kweli ulikuwa unawafatilia wote wao basi usingeweza kuwachanganya kundi moja la kuolewa...!

halafu kuna member umewataja hapo yani ni wazi wewe si mgeni kabisa...

Hii ni chai..
 
Ha ha ha haaaa yeuwiiii Nguruwe kaingia msikitinii... hahahahaaaa Asprin hahahaaa Jamani mieeee... Wacha niongee kikwetu kidogoo... Uuushooo Enkai tukutaiii ndarasin oo ndarasi.
 
Kakojoe haraka sana ukalale kabla sijakushikia kiboko!!....humu ni pa wakubwa tu wewe bado mdogo sana, kazania kitabu ndio msingi wa maisha yako....achana na mambo ya mapenzi utapofuka macho bure.
 
Ha ha ha haaaa yeuwiiii Nguruwe kaingia msikitinii... hahahahaaaa Asprin hahahaaa Jamani mieeee... Wacha niongee kikwetu kidogoo... Uuushooo Enkai tukutaiii ndarasin oo ndarasi.
Mmmh!!....unamaanisha nini mrembo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…