Kuna wadada humu wananichanganya roho

Kuna wadada humu wananichanganya roho

Teh Teh...hivi unajua kuna baadhi yao hapo ni wanaume? Nasikitika kukutangazia kwamba wewe si member mgeni bali ni member mwenye Id mpya kama kweli ulikuwa unawafatilia wote wao basi usingeweza kuwachanganya kundi moja la kuolewa...!

halafu kuna member umewataja hapo yani ni wazi wewe si mgeni kabisa...

Hii ni chai..
 
Ha ha ha haaaa yeuwiiii Nguruwe kaingia msikitinii... hahahahaaaa Asprin hahahaaa Jamani mieeee... Wacha niongee kikwetu kidogoo... Uuushooo Enkai tukutaiii ndarasin oo ndarasi.
 
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Kakojoe haraka sana ukalale kabla sijakushikia kiboko!!....humu ni pa wakubwa tu wewe bado mdogo sana, kazania kitabu ndio msingi wa maisha yako....achana na mambo ya mapenzi utapofuka macho bure.
 
Back
Top Bottom