Wide Open EYES
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 140
- 57
Nipo Internet cafe nadhani watu wananiona chizi kwa jinsi ninavyocheka.
Hahaha! Ngoja Tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! Ngoja Tuone.
Nipo Internet cafe nadhani watu wananiona chizi kwa jinsi ninavyocheka.
Teh nilikuwa naomba aishie kumention hapo hapo ili asije akakutaja. Ana utani wa ngumiHahaha. Somebody is playing rough in disguise.
Uuh thanks sweetheartHEAVEN SENT... According to me
Nakuja pm
Kakojoe haraka sana ukalale kabla sijakushikia kiboko!!....humu ni pa wakubwa tu wewe bado mdogo sana, kazania kitabu ndio msingi wa maisha yako....achana na mambo ya mapenzi utapofuka macho bure.mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Duu😳 Disco lishaingia Mmasai..🏃🏻🏃🏻..
Mmmh!!....unamaanisha nini mrembo?Ha ha ha haaaa yeuwiiii Nguruwe kaingia msikitinii... hahahahaaaa Asprin hahahaaa Jamani mieeee... Wacha niongee kikwetu kidogoo... Uuushooo Enkai tukutaiii ndarasin oo ndarasi.
Kasema ana miaka 17 wamsamehe tu.