Kuna wadada humu wananichanganya roho

hahahahahahahaha...nimecheka hadi mbavu zinauma!
Nasubiri nione makonzi ya macho utakayopigwa dogo!
 
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa
 
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa

hata mwandiko unashindwa kutambua kuwa huu wa kiume huu wa kike. dogo unazingua
 
Hahaha nimecheka si kidilogo.Kwa nnavyojua kama ni mfuatiliaji mzuri usinge wataja hao uliowataja wanawake wakati we mwanaume.Eti ungekuwa nini ungewaowa!!??hahaha duh!
 
We hata kura huruhusiwi kupiga unaanza kuchanganywa na watu wa watu.... potea
 
Hahaha nimecheka si kidilogo.Kwa nnavyojua kama ni mfuatiliaji mzuri usinge wataja hao uliowataja wanawake wakati we mwanaume.Eti ungekuwa nini ungewaowa!!??hahaha duh!

Huyu dogo amekuja kuwadhalilisha wanaume humu jf.
Kwanza kwa umri huo haruhusiwi kua member wa jf
 
Iliobaki ni kuwaona sura zao na kutengeneza mazingira kupitia soap!!
 
Kwanza kabisa karibu.

Pia nimefurahi kukukosha roho....

Ila kuna baadhi ya uliowatsja sio wadada...ni wanaume tena baafhi mababu kabisa.. Asprin, Bujibuji, ASAKunte same nk nk

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…