Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwa mdogo hana displine kabisaa katanguliza miguu huyuHahaa...kwa kweli nimecheka sana.
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa
Nipo Internet cafe nadhani watu wananiona chizi kwa jinsi ninavyocheka.
Huyu huenda wala si mwanachama mpya.....
We hata kura huruhusiwi kupiga unaanza kuchanganywa na watu wa watu.... poteamimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Bwa mdogo hana displine kabisaa katanguliza miguu huyu
Hahaha nimecheka si kidilogo.Kwa nnavyojua kama ni mfuatiliaji mzuri usinge wataja hao uliowataja wanawake wakati we mwanaume.Eti ungekuwa nini ungewaowa!!??hahaha duh!
Teh nilikuwa naomba aishie kumention hapo hapo ili asije akakutaja. Ana utani wa ngumi
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Hahahaha!!! Angemtaja Dogo hata mimi ningeandamana