BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Ila sio vizuri ujue, labda kama Hajui kuwa wengine ni wanaume hapo
mgiriki eti utaolewa? Huyu dogo hana adabu kabisaa...17yrs...
yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..[/QUOTE said:kwa hyo ulitaka uwaoe wote?
ha ha haaa babuu asprin njoo uolewe huku mahari nitatoa mie
ndio maana nimeomba samahani kaka sikujua kama hao ni wanaume.
ila comments zao zina nakshi naksh me nikadhani ni madada
amekusahau wewe
Mie shemale huyu amefall kwa wadada tu
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Invisible hivi JF mtoto wa miaka 17 anaruhusiwa kuingia as a member?mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Sijui amewaza nini aisee. Kila nikikumbuka nacheka peke yangu..