Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #281
[emoji28][emoji28]Ukimkawiza kawiza sana atakuona na wewe siye!
Mwanamke tangu juzi sijui lini umeshindwa kumlala!
Wengine wanahitaji faraja.
[emoji848][emoji848]Mleta mada pole in advance
Mwanamke si wa kumuamini kwa vyovyote vile, usiyaamini machozi ya mwanamke ndugu yangu.
Bro piga goti sali umuombe Mungu. Kama kweli kakupa huyo awe mkeo utaona ishara. Usiangalie mazingira uliyomkuta wewe angalia future yako. Mi wangu alinikuta kwenye kibanda nauza nikamsindikiza sehem aliyokuwa anaulizia mpaka leo ni mke mwema sana kanizalia watoto wanne warembo nashukuru sana Mungu kwa hili.Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress sikuamini. Mrefu, ana rangi ya udhurungi, shape ya kwenda, pua ya kisomali halafu nywele mpaka mgongoni! Baada ya malumbano yule binti mhudumu akawa analia.
Malezi niliyopewa na wazazi wangu ni kusababisha tabasamu kwa wengine, ingawa sababu ya ziada ni uzuri wake pia, nikamuita yule waitress, nikamuuliza kulikoni mbona malumbano? Akaniambia, "kaka angu, tangu nianze kazi hapa nina siku ya 9, kila mhudumu wa kike ananichukia wanadhani nitawachukulia mabwana zao, kumbe mimi natafuta maisha".
Nikapatwa na simanzi sana. Nikamwambia basi usilie, agiza kinywaji. Akasema na kazi anaacha. Eeh! Nikashtuka, akamuuliza kaunta anamdai sh ngapi ya vinjwaji, akamlipa hela yote, akaniambia kaka angu kama unataka kuninunulia bia twende ukaninunulie kwengine ila silali na wewe, nikamwambia poa. Kumbe ananipeleka sehemu ambayo atakutana na mwenyeji wake.
Tukahama joint, tukafika kwenye night club Moja hivi, akawa anakunywa bia kwa hasira kama mtu mwenye msongo hadi nikawa namzuia, wakati tuko pale akaja dada mmoja ambaye nilimuacha primary madarasa mawili, anamuita yule waitress dada, nikamuuliza vipi mnafahamiana? Akasema huyu ni mtoto wa marehemu mama mkubwa na mimi ndio nimempokea hapa mjini anaishi kwangu, ana matatizo makubwa, na yeye ndio kanitumia msg yuko hapa ndio nimekuja, yule waitress akafurahi kuona nafahamiana na ndugu yake.
Tamaa zikanijaa, nikamuomba sana niondoke naye kwasababu mimi sio stranger kwake tena kwasababu nafahamiana na ndugu yake, akaanza kumuuliza ndugu yake mara mbilimbili kwamba unamuamini huyu kaka? Ndugu yake akamjibu ndio, namfahamu sana tangu tukiwa Primary. Ikabidi ndugu yake aniapize kwamba sitafanya ufirauni [emoji2]
Tukaondoka, nikam-drop mdg mtu kwake, nikasepa na manzi. Tumefika kwangu aisee story aliyonipa inahuzunisha sana. Aliolewa miaka 2 iliyopita na mwanaume ambaye alikuwa na familia mkoani. Yeye akiwa amaemaliza Shahada yake ya kwanza ya BAF (Bachelor of Accounts and Finance) na kazi nzuri, mwanaume akamshauri aache kazi, kwa mapenzi binti akaacha kazi. Mwaka mmoja baadaye mwanaume akaanza kumnyanyasa, na ndio akagundua kwamba mwamba alikuwa ana mke na watoto 4 mkoa X!!! Kumbe binti ni yatima na alizaliwa kwao peke yake. Anachoshukuru ni hakuzaa na yule mwanaume kwasababu mwanaume hakutaka kuzaa nae kwa wakati ule.
Nikamuuliza kwanini auze bar na taaluma yake? Akasema ilibidi akimbie ule mkoa alipoolewa aje mkoa huu kuficha aibu na kuwasahaulisha watu, na akaona hawezi kukaa tu kwa ndugu yake bila kujishughulisha na chochote wakati anatafuta ajira. Kikubwa zaidi kwenye ile bar aliyoacha kazi hakuna mtu aliyekuwa anajua binti ni msomi, alijishusha afanane nao, nikamuuliza kazi umeacha kweli? akanijibu nimeacha kaka.
Baada ya zile story usiku wa jana nikamwambia haya lala mama. Asubuhi wakati naamka nakuta kavaa pensi na t-shirt yangu vyombo vyote kaosha, nguo chafu kafua, kuna sufuria nilitakaga kuzitupa ila kaziosha zimekuwa nyeupe kama theluji. Nikamuomba anioshe vyeti soft copy, aisee ni kichwa hasa, O na A level ni vijiti tu, Sekondari zote kasoma za kike. Chuo GPA KUBWA!
Mchana nikampa maelekezo asipike nitamuagizia Chakula ikabidi sasa nimtafute yule ndugu yake akaanza ku-verify zile taarifa alizonieleza Binti. Wakuu Mimi sijaoa, il Kuna Binti ambaye nilikuwa namfikiria fikiria kumuoa ila hili ni jaribu kwakweli. Yani huu ni wakati mgumu sana napitia, sielewi kwakweli. Sijamfanya kitu tangu Jana. Sasa hivi ndio nimeingia kwangu na msosi wake namuangalia tu hapa namna alivyotulia kwenye kochi anatazama tamthilia.
Duh.. I am speechless.Wee jamaa sio baharia, huruma sio malezi na zitakuponza, broken woman you will do extra job to fix her ila kama umempenda kazi kwako
Zingatia haya
1. Kuzaa mpaka atake yeye
2. Anakunywa pombe
3. Yupo tayari kulala na yeyote anaemshawishi kama ulivyofanya wewe
4. Anahitaji msaada zaidi kuliko mapenzi
5. Katendwa alikotoka so maumivu alopitia hajapona bado
6. Elimu kwa sasa hailipi kiviile, vyet vishakuwa kama makaratasi mengine
7. Tegemea lolote, anaweza kupona akawa mke mwema au demege alionayo ikasabibisha kulipa kisasi kwa mwanaume yeyote atakae katiza anga zake
8. Anazo akili na utulivu wa kujenga familia au ni pasua kichwa?
9. Unao uwezo wa kumvumilia mtu mpaka apone trauma zake au unataka alienyooka?
10. Una plan B yoyote just in case amekunjua makucha yake?
11. Kwanini uwaze kuoa mtu mliejuana jana tu?
12. Huyo mchumba unaetaka mwacha bila kosa karma haitakurudia?
13. Vipi akiamua kurudiana na mumewe?
14. Vipi kama kazi ya bar ndo ishamchagua? Utafanya nini akiamua kufungua bar yake au kufanya kazi kwa bar nyinginezo?
15. Wewe sio Yesu usijipe majukumu ya kuokoa watu
16. Unataka watoto wako wawe na mama wa namna gani?
17. Atakuwa na mchango gani katika kesho yako?
HahahaaKo umeshawishika na vyeti vya O na A level.
Kweli nimeamini, hata uwe na madhaifu au mapungufu kias gani hakikisha Elimu inakubebaa. Lol
Wapi nimesema kaacha kazi kwasababu ya mwanaume? Yeye kaacha kazi kwasababu ya makwazo. Soma uzi Kwa utulivu acha kukurupuka.Hivi bado kuna wasichana wapumbavu hivi wanakubali kuacha kazi kwa sababu ya mwanaume!!!!!
Noted, mkuu.Usiogope Chamsingi kapime pamoja naye ndiyo muanze maisha...[emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona kumeanza kuchangamka niwaibie tu siri mleta mada ana upwiru grade one
[emoji28][emoji28]Ndugu asipokuelewa wewe malaya MBOBEVU, basi atakwenda na maji
[emoji23][emoji23][emoji23] pango la UTI tenaUnafanya kosa la kiufundi kwa kutoingia "studioni" mpk Sasa. Ingia haraka sana ili uone kama yaliyomo yamo. Unaweza kukuta studio imetumika sana mpk imebaki kuwa pango la UTI
Duh [emoji848][emoji848]Vile ulivyoanza msufia tu nikajua kwisha habari.
One man down
Mkuu ulishamtamani
Hapo huambiwi na hata ukiambiwa hutosikia
Nakwambia sasa
Achana na huyo muuza bar atakuletea tabu mbeleni
Achana na huyo aloachana na mme wake atakuletea tabu mbeleni
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora umemwambia
Akisha rusha maji marambili mara tatu ndo atarudiwa na utashi wake
Nalifanyia kazi mkuu.Chukua mke huyo
Nimekusoma mkuu.Mke hupatikana popote mkuu. Kama masimulizi yako ni ya kweli, kula chuma hiko!
Nimekuelewa sana mkuu.Akitoa uboo tunahesabu mke,nothing more,kwani wanatupa nini kama sio hiyo nyama ya mkojo,hawana mashiko,atakuua kwa.tstess,kwanini Mwamba wa kwanza kasala,kwanini unakuwa mfadhili kwa mtu hatari.Sina neno,lakini utaoa kichaa kama wa kwangu,nilimwita geto miaka hiyo,akaropoka utaniweza?,kupeleka moto nikawa kama mtumwa wake,hataki lolote hata kutafuta pesa hataki,kaniachia nyama yake y mkojo kama justification,hajui kulea watoto ukimwacha anajizima data anapiga simu kwa wazazi wangu ati namkimbia sababu nimemmaliza kila kitu na nimenharibia maisha na watoto anawatumia kama shield,hao watu without purpose usiguse,mpe msaada wa Kazi baada ya hapo utapima kina mwenyewe.bye
Vijana wangu mnaniangusha sana. Hadi saiv hamjatuma kikombe cha chai wala jagi la chai. Kweli.
Duh, asante kwa ushauri mkuu.Mkuu usije ukaingia kwenye mtego wa kumuamini simply kwa hizo stories alizo kupa, ukamuachia nyumba yako peke yake, huku niliko wanaita gari ukiwa kazini wanachukua vitu na kuviamisha. Ukirudi kwa huyo dada yake ana kuambia haja muona. Na pia hata kama mnafahamiana na huyo dada yake ame ruhusu uondoke nae apunguze cost, hapa mjini mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama amefufuka tenaMabinti ni waongo, mmoja nlimsaidia akanambia yeye yatima, Tena aunt ake kamnyanyasa kamwambia akamfukue mamake kaburini[emoji3166]
Kumuuluza rafik ake akakazia, kwao wanamnyanyasa sana,[emoji849][emoji849][emoji849]
Baada ya siku mbili, simu hii apa, mamaake anamtafuta[emoji38]aende haraka sana au aripoti police [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nkamuuliza mama amefufuka au[emoji2955][emoji2955]
Asante sana baharia mwenzangu [emoji28]Kufanya kazi bar sio uhuni bali ni kutokana na ukosefu wa ajira uliopo; pia wale wanaofanya uhuni si kwa sababu wanapenda bali ni kutokana na mshahara mdogo na wao wanapenda waonekane watu kwa kunukia vizuri n.k.
Kuhusu huyo wa kwako, usioe kwa haraka; we kaa naye siku mbili tatu huku ukipiga 'meat' na kumsoma mienendo yake, pamoja na kumfahamu vizuri.
Ikiwezekana piga mimba, baada ya hapo utaona anafaa kuwa mke ama hapana.
Huo ndio ushauri wa kibaharia.