Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #341
Nimekusoma sana mkuu. Nashukuru.Mkuu bado hujawajua vizuri hawa viumbe.......... ukimpa sikio lako mwanamke yeyote yule ambaye umemtamani at the first place basi ujue umekwisha
Nakuhakikishia stori aliyokupa ukiigeuza kinyume chake ndio kweli
Hakuna mwanamke timamu mwenye digirii yake out of kazi zoote akachagua kuuza baa kujitafuta......
We ukitaka kumuoa uo tu, anaweza kukufaa au laa
Lakini usitumie huruma kumuona muhanga
[emoji848][emoji848]Tafuta muda zaidi na umpatie pesa pesa utayajua mengi
[emoji848][emoji848][emoji848]Unamuamini, siku ya kwanza tu kamkabidhi binti kwako kama bidhaa na binti kakubali. Jiulize kabla yako ashakabidhiwa kwa wangapi. Binti anayejielewa hawezi kubali akabidhiwe tu kama mzigo. Tuliza akili acha pupa siku zote huwa anayekuliza ni yule unayemwamini usiyemwamini hawezi kukuliza maana humpi nafasi ya kufanya hivyo
Sujamuacha mkuu [emoji28], bado nachakata.Kwa hiyo wifi yangu unamuacha kisa umekutana na chuma kipya kikali?
Tayari mkuu [emoji28], hadi leo yuko kwangu.Mkuu bado hujapiga tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja awe kitengo sawa na Muuza madafu [emoji23][emoji23] hawakosi kisa cha kuingilia mjini
Barikiwa sana mkuu.Bro piga goti sali umuombe Mungu. Kama kweli kakupa huyo awe mkeo utaona ishara. Usiangalie mazingira uliyomkuta wewe angalia future yako. Mi wangu alinikuta kwenye kibanda nauza nikamsindikiza sehem aliyokuwa anaulizia mpaka leo ni mke mwema sana kanizalia watoto wanne warembo nashukuru sana Mungu kwa hili.
Mkuu hata wema wana nafasi ya kuuza baa sio waivu tu. Tena huko ndiko unaweza kupata mwanamke material kwa kuwa wanajua uchungu wa maisha kuliko hawa wapuuzi na vilaza wa geti kali na waliomo kwenye ulokole. Hawa wanakuwa wametumika sana na tayari wameishajikatia tamaa ya maisha.Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress sikuamini. Mrefu, ana rangi ya udhurungi, shape ya kwenda, pua ya kisomali halafu nywele mpaka mgongoni! Baada ya malumbano yule binti mhudumu akawa analia.
Malezi niliyopewa na wazazi wangu ni kusababisha tabasamu kwa wengine, ingawa sababu ya ziada ni uzuri wake pia, nikamuita yule waitress, nikamuuliza kulikoni mbona malumbano? Akaniambia, "kaka angu, tangu nianze kazi hapa nina siku ya 9, kila mhudumu wa kike ananichukia wanadhani nitawachukulia mabwana zao, kumbe mimi natafuta maisha".
Nikapatwa na simanzi sana. Nikamwambia basi usilie, agiza kinywaji. Akasema na kazi anaacha. Eeh! Nikashtuka, akamuuliza kaunta anamdai sh ngapi ya vinjwaji, akamlipa hela yote, akaniambia kaka angu kama unataka kuninunulia bia twende ukaninunulie kwengine ila silali na wewe, nikamwambia poa. Kumbe ananipeleka sehemu ambayo atakutana na mwenyeji wake.
Tukahama joint, tukafika kwenye night club Moja hivi, akawa anakunywa bia kwa hasira kama mtu mwenye msongo hadi nikawa namzuia, wakati tuko pale akaja dada mmoja ambaye nilimuacha primary madarasa mawili, anamuita yule waitress dada, nikamuuliza vipi mnafahamiana? Akasema huyu ni mtoto wa marehemu mama mkubwa na mimi ndio nimempokea hapa mjini anaishi kwangu, ana matatizo makubwa, na yeye ndio kanitumia msg yuko hapa ndio nimekuja, yule waitress akafurahi kuona nafahamiana na ndugu yake.
Tamaa zikanijaa, nikamuomba sana niondoke naye kwasababu mimi sio stranger kwake tena kwasababu nafahamiana na ndugu yake, akaanza kumuuliza ndugu yake mara mbilimbili kwamba unamuamini huyu kaka? Ndugu yake akamjibu ndio, namfahamu sana tangu tukiwa Primary. Ikabidi ndugu yake aniapize kwamba sitafanya ufirauni [emoji2]
Tukaondoka, nikam-drop mdg mtu kwake, nikasepa na manzi. Tumefika kwangu aisee story aliyonipa inahuzunisha sana. Aliolewa miaka 2 iliyopita na mwanaume ambaye alikuwa na familia mkoani. Yeye akiwa amaemaliza Shahada yake ya kwanza ya BAF (Bachelor of Accounts and Finance) na kazi nzuri, mwanaume akamshauri aache kazi, kwa mapenzi binti akaacha kazi. Mwaka mmoja baadaye mwanaume akaanza kumnyanyasa, na ndio akagundua kwamba mwamba alikuwa ana mke na watoto 4 mkoa X!!! Kumbe binti ni yatima na alizaliwa kwao peke yake. Anachoshukuru ni hakuzaa na yule mwanaume kwasababu mwanaume hakutaka kuzaa nae kwa wakati ule.
Nikamuuliza kwanini auze bar na taaluma yake? Akasema ilibidi akimbie ule mkoa alipoolewa aje mkoa huu kuficha aibu na kuwasahaulisha watu, na akaona hawezi kukaa tu kwa ndugu yake bila kujishughulisha na chochote wakati anatafuta ajira. Kikubwa zaidi kwenye ile bar aliyoacha kazi hakuna mtu aliyekuwa anajua binti ni msomi, alijishusha afanane nao, nikamuuliza kazi umeacha kweli? akanijibu nimeacha kaka.
Baada ya zile story usiku wa jana nikamwambia haya lala mama. Asubuhi wakati naamka nakuta kavaa pensi na t-shirt yangu vyombo vyote kaosha, nguo chafu kafua, kuna sufuria nilitakaga kuzitupa ila kaziosha zimekuwa nyeupe kama theluji. Nikamuomba anioshe vyeti soft copy, aisee ni kichwa hasa, O na A level ni vijiti tu, Sekondari zote kasoma za kike. Chuo GPA KUBWA!
Mchana nikampa maelekezo asipike nitamuagizia Chakula ikabidi sasa nimtafute yule ndugu yake akaanza ku-verify zile taarifa alizonieleza Binti. Wakuu Mimi sijaoa, il Kuna Binti ambaye nilikuwa namfikiria fikiria kumuoa ila hili ni jaribu kwakweli. Yani huu ni wakati mgumu sana napitia, sielewi kwakweli. Sijamfanya kitu tangu Jana. Sasa hivi ndio nimeingia kwangu na msosi wake namuangalia tu hapa namna alivyotulia kwenye kochi anatazama tamthilia.
[emoji848][emoji848]Mkuu unaenda kufanya kosa alilofanya mdogo wangu.
Dogo alikuja kukaa na mm sinza mwaka 2015, tumekaa tunapush business hadi akawa na gari yake akapanga kwake.
Akaja kukutana na barmaid wa hukohuko sinza, pisi ni class A, na akawa anaisifia ina tabia njema kama wewe tu unavyoisifia hii.
Nikamwambia, "mdogo wangu kama kuna kitu kiongo duniani ni mwanamke mzuri lkn mwenye shida" Sasa hakunisikiliza, kachukua ile malaya kaweka ndani. Yeye anaona kapata wife material.
Kilichomtokea hadi leo anachukia wanawake vibaya sana. Dogo alipata story anagongewa na boda ila dem akiambiwa anaanza zile "My kwa hio uniamini, mm bora nirudi kwetu tu japo kuna shida usinitafutie sababu" dogo anapoa.
Sasa siku kamfumania dem anagongwa live tena sebuleni na mshikaji wa pale pale bar alipomtolea, na huyo msenge alikua bodyguard tu. Dogo kuleta fujo akala vitasa na jamaa likasepa. Pale pale na yule manzi akaingia kuchukua vyake akasepa na matusi juu kwamba jamaa hajui kukaza mwanamke. Alifedheheshwa sana dogo hadi sasa ukimwambia mwanamke hatokuelewa.
Moral of tje story ni kwamba, huyo dem ana shida zake na ww umeingia 18 zake. Kula temana nae, inaonekana una moyo mwepesi sana, uko easily impressed, na hizo lwa mwanaume ni weakness.
Tomba huyo dem mara 3 tu, ukiendelea kuwa na mawazo hayo basi yafuate! Ila kwa sie ambae tunatumia wanawake sana tunajua, kuna malaya mmoja eti namaliza game asbh namkuta anaosha vyombo, kapika na chai. Nikanywa chai yake nikamlipa atembee, hawa viumbe wanaangalia kaupepo, akikuona unajiweza anakulengesha uwe mnunuaji wa jumla wakati akiendelea kuuzia wale wa rejareja
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu.Mkuu usiende pupa hakikisha una varify hizo taarfa zake ipasavyo , ikiwezeka usitafute ndugu nenda kijj alichoish huko kakae kijj kwao peleleza kama kweli chukua jiko ,
Ila ukitiliashaka neno lake alikwambia kuw sio kweli piga chin,
Kila la heri haya mambo hayanaga kanuni
[emoji28][emoji28]Kweli WATU Kama wewe ni WATU muhimu ambao mnauwezo wa kubadilisha ubao wa matokeo Dakika za mwisho.
Noted, mkuu.fanya umjue aliyemuoa awali ikiweza akupe mbivu na mbichi zake,hakuna binadamu mkamilifu
Bado najitafakari [emoji28]Yule mwanamke wako uliedai unataka kumuoa umeamuaje?
Usidhani mwanaume alieshindwana nae alikuwa mjinga, you are about to find out that hakuwa mjinga. Wanawake pasua kichwa sana hawa. Utakuja kutusimulia tuJana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress sikuamini. Mrefu, ana rangi ya udhurungi, shape ya kwenda, pua ya kisomali halafu nywele mpaka mgongoni! Baada ya malumbano yule binti mhudumu akawa analia.
Malezi niliyopewa na wazazi wangu ni kusababisha tabasamu kwa wengine, ingawa sababu ya ziada ni uzuri wake pia, nikamuita yule waitress, nikamuuliza kulikoni mbona malumbano? Akaniambia, "kaka angu, tangu nianze kazi hapa nina siku ya 9, kila mhudumu wa kike ananichukia wanadhani nitawachukulia mabwana zao, kumbe mimi natafuta maisha".
Nikapatwa na simanzi sana. Nikamwambia basi usilie, agiza kinywaji. Akasema na kazi anaacha. Eeh! Nikashtuka, akamuuliza kaunta anamdai sh ngapi ya vinjwaji, akamlipa hela yote, akaniambia kaka angu kama unataka kuninunulia bia twende ukaninunulie kwengine ila silali na wewe, nikamwambia poa. Kumbe ananipeleka sehemu ambayo atakutana na mwenyeji wake.
Tukahama joint, tukafika kwenye night club Moja hivi, akawa anakunywa bia kwa hasira kama mtu mwenye msongo hadi nikawa namzuia, wakati tuko pale akaja dada mmoja ambaye nilimuacha primary madarasa mawili, anamuita yule waitress dada, nikamuuliza vipi mnafahamiana? Akasema huyu ni mtoto wa marehemu mama mkubwa na mimi ndio nimempokea hapa mjini anaishi kwangu, ana matatizo makubwa, na yeye ndio kanitumia msg yuko hapa ndio nimekuja, yule waitress akafurahi kuona nafahamiana na ndugu yake.
Tamaa zikanijaa, nikamuomba sana niondoke naye kwasababu mimi sio stranger kwake tena kwasababu nafahamiana na ndugu yake, akaanza kumuuliza ndugu yake mara mbilimbili kwamba unamuamini huyu kaka? Ndugu yake akamjibu ndio, namfahamu sana tangu tukiwa Primary. Ikabidi ndugu yake aniapize kwamba sitafanya ufirauni [emoji2]
Tukaondoka, nikam-drop mdg mtu kwake, nikasepa na manzi. Tumefika kwangu aisee story aliyonipa inahuzunisha sana. Aliolewa miaka 2 iliyopita na mwanaume ambaye alikuwa na familia mkoani. Yeye akiwa amaemaliza Shahada yake ya kwanza ya BAF (Bachelor of Accounts and Finance) na kazi nzuri, mwanaume akamshauri aache kazi, kwa mapenzi binti akaacha kazi. Mwaka mmoja baadaye mwanaume akaanza kumnyanyasa, na ndio akagundua kwamba mwamba alikuwa ana mke na watoto 4 mkoa X!!! Kumbe binti ni yatima na alizaliwa kwao peke yake. Anachoshukuru ni hakuzaa na yule mwanaume kwasababu mwanaume hakutaka kuzaa nae kwa wakati ule.
Nikamuuliza kwanini auze bar na taaluma yake? Akasema ilibidi akimbie ule mkoa alipoolewa aje mkoa huu kuficha aibu na kuwasahaulisha watu, na akaona hawezi kukaa tu kwa ndugu yake bila kujishughulisha na chochote wakati anatafuta ajira. Kikubwa zaidi kwenye ile bar aliyoacha kazi hakuna mtu aliyekuwa anajua binti ni msomi, alijishusha afanane nao, nikamuuliza kazi umeacha kweli? akanijibu nimeacha kaka.
Baada ya zile story usiku wa jana nikamwambia haya lala mama. Asubuhi wakati naamka nakuta kavaa pensi na t-shirt yangu vyombo vyote kaosha, nguo chafu kafua, kuna sufuria nilitakaga kuzitupa ila kaziosha zimekuwa nyeupe kama theluji. Nikamuomba anioshe vyeti soft copy, aisee ni kichwa hasa, O na A level ni vijiti tu, Sekondari zote kasoma za kike. Chuo GPA KUBWA!
Mchana nikampa maelekezo asipike nitamuagizia Chakula ikabidi sasa nimtafute yule ndugu yake akaanza ku-verify zile taarifa alizonieleza Binti. Wakuu Mimi sijaoa, il Kuna Binti ambaye nilikuwa namfikiria fikiria kumuoa ila hili ni jaribu kwakweli. Yani huu ni wakati mgumu sana napitia, sielewi kwakweli. Sijamfanya kitu tangu Jana. Sasa hivi ndio nimeingia kwangu na msosi wake namuangalia tu hapa namna alivyotulia kwenye kochi anatazama tamthilia.
Hana akili kabisa, nyumbu kabisa huyung'ombe huyu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23]Ni jambo la mda utalia
Tatizo ulimbukeni wa wanawake, anakuja kuwajua wanawake ukubwani, lazima ulie kama kondeboy tu, hahaAnatafuta kulia halafu aje atafute huruma. Mwenzie anakua mwema kwa sababu kaonyesha kumsaidia yeye anawaza ndoa.
Atalia vibaya huyu ππππ
Duh si mchezo. Asante kwa ushuhuda.Kawaida sana aseee.... Kuna mshkaji .. nafikiri nilishahadithiaga humu...kipindi tunamaliza chuo SAUT 2008/9... Kuna mshkaji tulikuwa tunasoma naye ila yeye alikuwa tayari kazini alikuwa mwanajeshi.... Alipata demu mkali kinyama RUMORS CLUB.... Tukaenda naye mpaka magetoni ..Sasa mitungi mingi na tumekesha tukapitia Royal Pub piga mamtori ndio tukaenda magetoni .... Jamaa mchanamchana hivi watu wimbi ndio linakata flani akatushtua Wana oya njooni ...bar flani IPO bondeni ndio akaanza kutupa story za yule manzi.... Jamaa alioa kabisa yani.... Na yupo naye mpaka wa Leo na demu ni mtulivu kinyama yani huwezi dhani kama alimpatia mazingira yale. Kifupi demu ndio alikuwa ameanza kazi ya pale club ya uhudumu... Mchana anatembeza uji soko la langolango usiku anauza hapo Rumors club... Baba yake alipata ajali akavunjika miguu .... Noma sana. Walikuwa wanakaa maeneo ya mto. Mirongo upande wa makaburi ya waislamu. Tulienda na mshkaji mpaka kwao aseeee..... Jamaa alichukua jumlajumla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaani