Kuna wafanyabiashara sio wakarimu kabisa kwa wateja, wanazidiwa na boda boda!

A Chinese philosopher says that if can't laugh don't open a shop watanzania wengi tunafanya biashara kwa kujuana mpaka mtu akujue ndio akuchangamkie.
 
Kuna mmasai mmoja anauza duka, kuna siku nimeenda usiku kununua mahitaji nikakuta ndo anafunga. Nikasema" kumbe ndo unafunga?"

Akajibu Kwa ukali"swali gani unauliza ww, unaliza majibu" nilishangaa sana
 
Yupo sahihi kabisa.
 
Mimi siwatetei wafanyabiashara wajeuri.
Lakini pia kuna baadhi ya wateja pia ni pasua kichwa,kwa mfano anaweza akaja akakwambia wewe boya acha kuzubaa leta maji ya buku hapa.
Na hamjuani mmeonana muda huo huo
mkuu acha zako wewee! ahah[emoji38][emoji38]
 
[emoji848]hapa kuna ukweli
 
A Chinese philosopher says that if can't laugh don't open a shop watanzania wengi tunafanya biashara kwa kujuana mpaka mtu akujue ndio akuchangamkie.
watakula huko huko walikopeleka mboga
 
Kuna mmasai mmoja anauza duka, kuna siku nimeenda usiku kununua mahitaji nikakuta ndo anafunga. Nikasema" kumbe ndo unafunga?"

Akajibu Kwa ukali"swali gani unauliza ww, unaliza majibu" nilishangaa sana
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tafuta hela
 
Kuna mmasai mmoja anauza duka, kuna siku nimeenda usiku kununua mahitaji nikakuta ndo anafunga. Nikasema" kumbe ndo unafunga?"

Akajibu Kwa ukali"swali gani unauliza ww, unaliza majibu" nilishangaa sana
yupo sahihi 100%, kanuni ya biashara kwenye swala la usalama, mda wa kufunga duka ukifika na ukishaaza kufunga usifungue tena. funga fungua haruhusiwa kwenye biashara hata kama mteja ni mfalme.

Kwenye issue ya biashara kukarimu wateja ni moja tu ya mahitaji ya kichocheo cha wateja lakini, swala la utadumu kwa mda gani na utalinda mtaji wako kwa mda gani hapo kuna mambo mengi ya kuzingatia (mikopo, utapeli n.k wapo watakuja na bashasha kama wateja kweli kumbe wanakulia radar then ukichecheka kupitiliza unapigwa za kichwa. Hivyo (kicheko chako au ukarimu wako sio suruhisho pekee ) na utakiwi kumfundisha mtu namna ya kulinda& kuendesha mtaji aliotafuta mwenyewe. stainability ya biashara yako inategemea mambo mengi
mwisho, wanasema "always customer is Right'' kwaiyo sishangai malalamiko yako.
 
waache wajifanye wakali na waone tunaoenda kununua vitu kama hatuna hela hawajui wanajipunguzia wateja wenyewe
 
Mimi siwatetei wafanyabiashara wajeuri.
Lakini pia kuna baadhi ya wateja pia ni pasua kichwa,kwa mfano anaweza akaja akakwambia wewe boya acha kuzubaa leta maji ya buku hapa.
Na hamjuani mmeonana muda huo huo

Mwingine anakuja anakwambia mbona duka jeupe sana unafilisika?[emoji28]halafu anaulizia kitu anaondoka zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…