Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihi kabisa.Kuna mmasai mmoja anauza duka, kuna siku nimeenda usiku kununua mahitaji nikakuta ndo anafunga. Nikasema" kumbe ndo unafunga?"
Akajibu Kwa ukali"swali gani unauliza ww, unaliza majibu" nilishangaa sana
mkuu acha zako wewee! ahah[emoji38][emoji38]Mimi siwatetei wafanyabiashara wajeuri.
Lakini pia kuna baadhi ya wateja pia ni pasua kichwa,kwa mfano anaweza akaja akakwambia wewe boya acha kuzubaa leta maji ya buku hapa.
Na hamjuani mmeonana muda huo huo
[emoji848]hapa kuna ukweliMfanyabiashara wa aina hiyo anakuwa na kazi zingine zinazompatia kipato hizo ndio zinampa jeuri hiyo biashara inakuwa ni ya kuzugia tu so anakuwa na ile mentality ya kwamba" ukija kununua na usipokuja yote sawa tu kwangu niko na pesa za kutumia" ila mfanyabiashara ambaye yuko serious na anaitegemea hiyo hiyo biashara kuendesha maisha yake yote hawezi kuiachia hela kizembezembe hivyo eti kwa sababu mteja yuko nje ya duka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu acha zako wewee! ahah[emoji38][emoji38]
Tafuta helaHii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!!
Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa kukutazama kiasi kwamba mpaka wewe ndio uanze kumuongelesha! Jamaa hacheki, amekunja ndita!
Kuna wafanya biashara kwakweli ukifika dukani/kazini kwao wanakuchangamkia mpaka unaona raha! Yani unaenda kuulizia bei tu, atakushawishi mpaka ununue!! wakarimu, wacheshi, wachangamfu safi sana! [emoji4][emoji4]
ona huyu sasa: napita mtaa flani hapo nakaona nichukue maji kwenye duka moja hivi, kwakuwa kapikipiki kangu ni kabovu bovu, nikabaki nimekashikilia ili kasizime!
nikamwambia jamaa niletee maji ya buku, jamaa akanitizama kwa dharau, akaweka headphone masikioni, akaketi kwenye kiti!
Watu wa aina hii naona wamekurupuka tu biashara sio fani zao.
TUJIFUNZE KUWA WAKARIMU KWA WATEJA WETU JAMANI
yupo sahihi 100%, kanuni ya biashara kwenye swala la usalama, mda wa kufunga duka ukifika na ukishaaza kufunga usifungue tena. funga fungua haruhusiwa kwenye biashara hata kama mteja ni mfalme.Kuna mmasai mmoja anauza duka, kuna siku nimeenda usiku kununua mahitaji nikakuta ndo anafunga. Nikasema" kumbe ndo unafunga?"
Akajibu Kwa ukali"swali gani unauliza ww, unaliza majibu" nilishangaa sana
ukiona hivo anategema ndagu kwenye biashara.wapo ninaowajua ni wamiliki kabisa nao wana dharau dharau pia..
Mimi siwatetei wafanyabiashara wajeuri.
Lakini pia kuna baadhi ya wateja pia ni pasua kichwa,kwa mfano anaweza akaja akakwambia wewe boya acha kuzubaa leta maji ya buku hapa.
Na hamjuani mmeonana muda huo huo
ndio hapo utashangaa anasema duka jeupe wakati yeye anahitaji kitu kimoja tu.Mwingine anakuja anakwambia mbona duka jeupe sana unafilisika?[emoji28]halafu anaulizia kitu anaondoka zake
[emoji38][emoji38]ndio hapo utashangaa anasema duka jeupe wakati yeye anahitaji kitu kimoja tu.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app