Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii

"Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi,

Kaka yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi

Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi "

Hili tangazo lilikuwa kwenye channel gani, maana nalitafuta
 
ITV na Channel 10
 
Yaani UKIMWI tumeanza kuusoma toka shule ya msingi...darasa la 4,5 na 7
Tukaja secondary 1, 2 & 4

Adv huku yale yale kwenye GS

Chuo huko imo

Bado mtaani huku show kali yaani kutishana tuu...
Afu mbona kwa sasa mambo sio magumu kiasi hicho wakuu..
Tunaishi nao tu sheria ile ile hakuna kupima 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom