Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Mambo ya Mama Terry, siku hizi ukimwi sio habari kabisa ni kama haupo..... Gen Z hawajui lolote kuhusu ukimwi.
 
Kuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.

Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
Hii naweza kuikubali mkuu, kuna kijiwe kimoja nilishapiga stories kuhusu ukimwi na masela kila mtu alinishangaa ninavyo uchukulia ukimwi , mmoja akavunja ukimya akaniuliza kwani wewe hauna ukimwi?
 
Ugopa sana umeichakata pisi mpaka akaomba maji, then upite kitaa usikie masela wasema ile mbona kitambo sna inatumia njungu, yani utaishi kama digidigi , kikitoka kipele tu unahisi tayari😁😁
😂😂😂😂😂😂 Daaah umenikumbusha mbali sana mkuu....

Kuna jamaa nilikutana na e hospital yaan amekuja na wenge kinoma noma anaanza kuniuliza mimi dalili za mtu mwenye ukimwi ni zipi..

Yaani jamaa nahisi alitoka kuuza mechi aisee yaani hakutulia kabisa..

Alafu mkuu ujue kuna watu hawapati kabisa hivo vidudu sa sijui kitaalamu imekaaje ..?
 
Unakuta mwamba ana gugo dalili kila dalili anajiona yumo😆😆😆😆
 
Sio jambo rahisi kuishi kwa dawa kila siku mkuu, wanapitia mengi ila ndio maisha sio kupenda kwao.
Mkuu acha tuu sasa na ugumu wa life hii alafu ukutane na zing zong ka hizo..

Daah unakuta mtu yupo very strictly ujui shida nn kumbe mwenzako kichwa kina mambo mengi mno aiseeee
 
Hii naweza kuikubali mkuu, kuna kijiwe kimoja nilishapiga stories kuhusu ukimwi na masela kila mtu alinishangaa ninavyo uchukulia ukimwi , mmoja akavunja ukimya akaniuliza kwani wewe hauna ukimwi?
Duh asee ni kwere. Hivi vile vipimo vidogo huwa vinatoa majibu ya kweli au ni boshen ya wazungu kuwazuga watu tu
 
ARVs zimewadanganya wengi na wanahisi ukimwi haupo..., laiti wangeona ya miaka ya 2000 mwanzoni watu wangekua na heshima.
 
Unakuta mwamba ana gugo dalili kila dalili anajiona yumo😆😆😆😆
Google ya kingese sana....
Unaweza jichagulia uwe nao au laa

Mimi: """Je vipele ni dalili ya ukimwi"""
Google: Vipele ni moja ya dalili ya magonjwa ya ngozi yanayotokea sana kwa watu waishio na VVU au UKIMWI na huweza kuwa ishara ya kwanza ya maambukizi ya VVU.

Utajuta kuzaliwa 😂😂😂😂😂
 
Ugopa sana umeichakata pisi mpaka akaomba maji, then upite kitaa usikie masela wasema ile mbona kitambo sna inatumia njungu, yani utaishi kama digidigi , kikitoka kipele tu unahisi tayari😁😁
Nikiwa chuo nilipitaga na rafiki wa pisi yangu baada ya kuachana nae, alivyokuja kujua kuna siku nilikutana nae njiani akaniambia "utakuja kula hadi visivyolika kisa tamaa, utakufa mkavu mimi ndio namjua fulani umeshajimaliza, shauri yako bado hujapima?, kwaheri".
Moyo ukafanya paah! Nikakumbuka niliuza mechi tena sio mara moja. Mda ule ule nikaenda hospitali kupima.
 
Back
Top Bottom