Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Nyie vijana, ukiingia kwenye uhusiano mpya. Hakikisha mnapima wote kwanza. Mambo ya kujifanya mnatumia protection, siku 2,3 za mwanzoni. Baada ya hapo mnaaminiana kwa macho, utapigwa na kitu kizito.
Pima, kuwa mwaminifu kwa mpenzi mmoja, ukishindwa achana na kujigjig. Siyo chakula kusema utakufa lah ukale mbegu vichwa vyenu.
Jirani yetu mwanaume alimleta mmama wakawa wanaishi wote kama mwaka

Juzi kati hapo huyo mama kapukutika uzuri wote kwishaa

Nikaenda kisimani nawasikia wamama wanapiga umbea wanamcheka eti "alikuja hata hajauliza historia, mwenzake kaungua kitambo"

Kumbe huyo baba ana ngoma kashamuambukiza mama wa watu🥹
 
😂😂😂😂😂Daaah aiseee hiyo kitambo sana...
Ila kwa sasa unazani naelewa sasa...

Kwa hili life mkuu tunayopitia huyo virus mbona cha mtoto...
ARV + mlo mzr + mazoezi aaaaaaah

Mungu akupe nini tena mkuu 😂😂😂😂 au unataka A ya chemistry
Mkuu mimi sisemi zaidi nisije nikakufuru ila mapito niliyopita na mechi nilizouza nashukuru nipo salama na sirudii tena.
 
Jirani yetu mwanaume alimleta mmama wakawa wanaishi wote kama mwaka

Juzi kati hapo huyo mama kapukutika uzuri wote kwishaa

Nikaenda kisimani nawasikia wamama wanapiga umbea wanamcheka eti "alikuja hata hajauliza historia, mwenzake kaungua kitambo"

Kumbe huyo baba ana ngoma kashamuambukiza mama wa watu🥹
Nyie mbona hatareee hii

Mtafanya leo nizunguke magengeni hapa kupata historia ya antiel carah aiseee 🥺🥺🥺🥺🥺
 
Kama wewe unajiona muoga muoga hakuna kupima..
Upime ili iweje.....
 
Kuna muda huna namna, kupima ni moja ya kuipenda na kuijali afya yako na kesho yako ili ufanye maamuzi sahihi mapema.
Una wazimu wewe si bure 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Et ufanye maamuzi mapema
😂😂😂😂😂 Wee jamaa juu kule tumeanza vzr ila huku mwisho umeanza kupuyanga
 
Back
Top Bottom