Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Enzi izo unyanyapaa ulikuaga mkubwa mnoo yaan enzi izo wimbo wa FERUZI_STAREHEYpo vizuri kwenye kumbukumbu
Watoto wa elfu mbili walikua Bado tumboni😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi izo unyanyapaa ulikuaga mkubwa mnoo yaan enzi izo wimbo wa FERUZI_STAREHEYpo vizuri kwenye kumbukumbu
Ndio maana tunasema usipime kwa macho, sio kila king'aacho ni dhahabu. Hata kitumbua kikizidi mafuta hung'aa sana. Kuwa makini.😂😂😂😂 Kavu kavu kavu
Sema wakuu hapa nashukuru sana kwa kunisanua aiseee khaaa kumbe nililia naenda siko kabisa.....
Sema weee kuna mtu ukimuona hata mambo ya kupima unasahau mkuu 😂😂😂😂😂
Niacheni..😂😂😂🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktakulambaaa!! Shauri yakoo. Lol
Twende lini🙄sawa
Play safe...Acha kunitisha it's seriously issue ujue.,🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Bana weee kwanza mbona sijawahi kuona ana dalili bhanaaaa
Sina cha kupoteza dadek...Wewe tenaa😂😂
Mimi nishatulia na shemeji yako ephen_ mnamaInategemea mkuu ,ila ni bora utumie tu pia ujilinde kwa sababu sio HIV tu mkuu.
Haya mkuu tuishie hapa..🥺🥺🥺Ndio maana tunasema usipime kwa macho, sio kila king'aacho ni dhahabu. Hata kitumbua kikizidi mafuta hung'aa sana. Kuwa makini.
Ni member wa mda nadhani hukuwepo asee mada zake zilisisimua sana.Huyo baba simjui
Watu mnpenda kutishan kwenye mmbo ambayo wala sio ya kutishana.HIV bado ipo na inaua ni kuwa makini tu mkuu ,kinga ni bora kuliko tiba .
Dah pole yake. Unanikumbusha ya aliyekuwa dereva wa Mama yangu. Mama alishaambiwa na wote tukawa tunajua, akatuletea dada wa kazi wa kwenda na kurudi. Kumbe mkewe!!!Jirani yetu mwanaume alimleta mmama wakawa wanaishi wote kama mwaka
Juzi kati hapo huyo mama kapukutika uzuri wote kwishaa
Nikaenda kisimani nawasikia wamama wanapiga umbea wanamcheka eti "alikuja hata hajauliza historia, mwenzake kaungua kitambo"
Kumbe huyo baba ana ngoma kashamuambukiza mama wa watu🥹
Wakati kuna wadau walikua wananishauri ili asinibwage inabidi niikamie...Play safe...
Hakikisha hu ikamii usje chubuka...
Hahahahaha, sema naye usione sooKuna mazungumzo mengine hayazungumziki
Nawaza hapa kama hii post yako itapata wachangiaji wengi,pia sijui hata kama kuna watakao malizia mpk mstari wa mwisho...Habarini,
Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii
"Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi,
Kaka yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi
Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi "
Hili tangazo lilikuwa kwenye channel gani, maana nalitafuta
😁😁😁Watu mnpenda kutishan kwenye mmbo ambayo wala sio ya kutishana.
Jamani kisukari ni nomaa ngoma haifui dafu.
Tufanye mazoezi na tuache misoda. Kisukari hadi kibamia hakisimami
Wewe kapime kama huna na mimi sinaTwende lini