min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ndio hivyo kuna watu wanajua kabisa hali zao ila wanasukumwa na ubinafsi na roho mbaya kuwaambukiza wengine makusudiJirani yetu mwanaume alimleta mmama wakawa wanaishi wote kama mwaka
Juzi kati hapo huyo mama kapukutika uzuri wote kwishaa
Nikaenda kisimani nawasikia wamama wanapiga umbea wanamcheka eti "alikuja hata hajauliza historia, mwenzake kaungua kitambo"
Kumbe huyo baba ana ngoma kashamuambukiza mama wa watu🥹