GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hii kitu zaman ilikuwa inakula kitu na cycle yake.Dah pole yake. Unanikumbusha ya aliyekuwa dereva wa Mama yangu. Mama alishaambiwa na wote tukawa tunajua, akatuletea dada wa kazi wa kwenda na kurudi. Kumbe mkewe!!!
Alituficha, yule dada alikuwa dhaifu, halafu mgongoni ana utangotango ule uliokomaa. Akafariki, siku ya msiba dereva anazuga tusijue ni mume. Kumbe pia alikuwa anatembea na mmama jirani yake. Mkewe wa kwanza alishafariki.
Kipindi anampeleka Mama yangu MOI pale, akampata nesi ila anajiita Dr!!!
Wakaoana, mumewe alishafariki, tukahisi nayeye huenda tayari, maana aliingia mzima, mzima. Baadaye tukaachana naye kikazi.
Dawa za ARVs zimesaidia sana.