Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
π hivi kuna mtu hajawai kugoogle dalili za ukimwi?Google ya kingese sana....
Unaweza jichagulia uwe nao au laa
Mimi: """Je vipele ni dalili ya ukimwi"""
Google: Vipele ni moja ya dalili ya magonjwa ya ngozi yanayotokea sana kwa watu waishio na VVU au UKIMWI na huweza kuwa ishara ya kwanza ya maambukizi ya VVU.
Utajuta kuzaliwa πππππ