Kuhusu kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia condomnakumbuka ile waliyo imba kina stara thomas na wenzake.. ila inasema..
usione soo sema nae...
Kuhusu kusubirinakumbuka ile waliyo imba kina stara thomas na wenzake.. ila inasema..
usione soo sema nae...
Hakuna hata shangzi aliniambia hili ππππππHIV bado ipo na inaua ni kuwa makini tu mkuu ,kinga ni bora kuliko tiba .
ITV na Channel 10Habarini,
Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii
"Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi,
Kaka yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi
Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi "
Hili tangazo lilikuwa kwenye channel gani, maana nalitafuta
ile ngoma naikubali sana.. hadi leo hii acha nikaitafute youtubsKuhusu kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia condom
Usisahau na kosa la marehemu babaile ngoma naikubali sana.. hadi leo hii acha nikaitafute youtubs
Tena hayo mashangazi ,mengi yamoto πHakuna hata shangzi aliniambia hili ππππππ
Mbona siwaoni HIV+ siku hizi mkuu? Ulikuwepo late 90s ukaona ngoma ilivyokuwa inakausha watu?HIV bado ipo na inaua ni kuwa makini tu mkuu ,kinga ni bora kuliko tiba .
na ferouz.. kwaherini kwaherini...Usisahau na kosa la marehemu baba
"Na mimi sitaki kwenda sitaki kwenda na ukimwi"Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi "
Kipindi cha corona wengi walio kuwa wanapitiwa ni wa hanga mkuu ,siku hizi utasikia ilikua ni pressure ama sukari π€Mbona siwaoni HIV+ siku hizi mkuu? Ulikuwepo late 90s ukaona ngoma ilivyokuwa inakausha watu?
Muhimu mtu anakata moto na siha yake π€£π€£Kipindi cha corona wengi walio kuwa wanapitiwa ni wa hanga mkuu ,siku hizi utasikia ilikua ni pressure ama sukari π€
Huyu wangu alinitafuta ili nimpelkee huo moto nahisi hakua nao mkuu πππππππTena hayo mashangazi ,mengi yamoto π