Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Kuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.


Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
Unaijua asilimia 80 lakini?

80%

Uongo wa wazi kabisa.

Isikutishe "Research" iliyochapishwa na "Journal kutoka Marekani". Ndio maana mods wamepita na uzi.

Watu waache utoto katika mambo serious.
 
Unaijua asilimia 80 lakini?

80%

Uongo wa wazi kabisa.

Isikutishe "Research" iliyochapishwa na "Journal kutoka Marekani". Ndio maana mods wamepita na uzi.

Watu waache utoto katika mambo serious.
Mkuu wangu hata mimi nilishangazwa kama wewe asee
 
NATOA 10K KWA MTU ATAKAE NITUMIA TANGAZO LA UKIMWI KWENYE MIAKA YA 2003+ AMBALO LINAFANYIKA KANISANI HUKU MTOTO ANAZALIWA NA KUBATIZWA KANISANI NA MWISHONI KABISA MILANGO YA KANISA INAFUNGWA.

NALITAKA LILE LAKINI KIINI NI ILE SOUND/AUDIO ILIYOTUMIKA NDO NAITAKA HASWA COZ NI MPENZI WA SOUND ZA VILE MNO REFER SOUND ZA TBC ZILE ZA SALAMU ZA KIFO
Hilo tangazo nafikiri lilikuepo channel 10 miaka ya elf 2 mwanzoni, mida ya jioni, tena baada ya katuni kuomyeshwa, nafikiri lilikuwa lina-sound kama hivi 😁 jerryempire
 

Attachments

Alile tangazo la ishi ndio lilikiwa lenyewe... Usione soo sema nae kuhusu kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia condom. Dah hapo nipo chuo mwaka wa mwisho
Hee kumbe wewe Mzee 😲 kipindi cha Hilo tangazo la usione Soo mm niko shule ya msingi mzabzab
 
Back
Top Bottom