Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Hii naweza kuikubali mkuu, kuna kijiwe kimoja nilishapiga stories kuhusu ukimwi na masela kila mtu alinishangaa ninavyo uchukulia ukimwi , mmoja akavunja ukimya akaniuliza kwani wewe hauna ukimwi?
hii ishu iliwahi nikuta migodini chunya huko,..watu tunaishi nao kambini, kumbe vidonge wameficha vichakani huko😥😥🥲
 
hii ishu iliwahi nikuta migodini chunya huko,..watu tunaishi nao kambini, kumbe vidonge wameficha vichakani huko😥😥🥲
Vijana wengi hasa wa sasa wanauchukulia ukimwi poa sana ,na wengi wanakufa inasingiziwa sukari na pressure japo ni kwel ukiwa na HIv unashambuliwa na magonjwa mengi , ila chanzo wengi ni HIV.
 
Vijana wengi hasa wa sasa wanauchukulia ukimwi poa sana ,na wengi wanakufa inasingiziwa sukari na pressure japo ni kwel ukiwa na HIv unashambuliwa na magonjwa mengi , ila chanzo wengi ni HIV.
Hilo ni kweli kabisa, lakini kikubwa kinachonisikitisha ni kupikwa kwa takwimu,....hali ni mbaya mno, kiasi kwamba napata wazo kuwa hata wenye mamlaka wamekata tamaa,...😥🥲🥲
 
Hahaha
 
Mzigo nimeshaupata mkuu, nije pm kuchukua 10k yangu 😅 jerryempire
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…