Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuuHuwa wanazingua tu mkuu😁
Na huu ni ukweli,....ila ndo hivyo data zinapikwa sana hii nchiKuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.
Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
hii ishu iliwahi nikuta migodini chunya huko,..watu tunaishi nao kambini, kumbe vidonge wameficha vichakani huko😥😥🥲Hii naweza kuikubali mkuu, kuna kijiwe kimoja nilishapiga stories kuhusu ukimwi na masela kila mtu alinishangaa ninavyo uchukulia ukimwi , mmoja akavunja ukimya akaniuliza kwani wewe hauna ukimwi?
Vijana wengi hasa wa sasa wanauchukulia ukimwi poa sana ,na wengi wanakufa inasingiziwa sukari na pressure japo ni kwel ukiwa na HIv unashambuliwa na magonjwa mengi , ila chanzo wengi ni HIV.hii ishu iliwahi nikuta migodini chunya huko,..watu tunaishi nao kambini, kumbe vidonge wameficha vichakani huko😥😥🥲
Hilo ni kweli kabisa, lakini kikubwa kinachonisikitisha ni kupikwa kwa takwimu,....hali ni mbaya mno, kiasi kwamba napata wazo kuwa hata wenye mamlaka wamekata tamaa,...😥🥲🥲Vijana wengi hasa wa sasa wanauchukulia ukimwi poa sana ,na wengi wanakufa inasingiziwa sukari na pressure japo ni kwel ukiwa na HIv unashambuliwa na magonjwa mengi , ila chanzo wengi ni HIV.
HahahaHabarini,
Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii
"Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi,
Kaka yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi
Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi "
Hili tangazo lilikuwa kwenye channel gani, maana nalitafuta
HahahaHilo ni kweli kabisa, lakini kikubwa kinachonisikitisha ni kupikwa kwa takwimu,....hali ni mbaya mno, kiasi kwamba napata wazo kuwa hata wenye mamlaka wamekata tamaa,...😥🥲🥲
"Na mimi sitaki kwenda sitaki kwenda na ukimwi"
Ngoma ilikuwa Kali mno
Mzigo nimeshaupata mkuu, nije pm kuchukua 10k yangu 😅 jerryempireNATOA 10K KWA MTU ATAKAE NITUMIA TANGAZO LA UKIMWI KWENYE MIAKA YA 2003+ AMBALO LINAFANYIKA KANISANI HUKU MTOTO ANAZALIWA NA KUBATIZWA KANISANI NA MWISHONI KABISA MILANGO YA KANISA INAFUNGWA.
NALITAKA LILE LAKINI KIINI NI ILE SOUND/AUDIO ILIYOTUMIKA NDO NAITAKA HASWA COZ NI MPENZI WA SOUND ZA VILE MNO REFER SOUND ZA TBC ZILE ZA SALAMU ZA KIFO