Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Kuna Waislamu wanachafua Uislam

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
 
Na wakatoliki wanachafua ukatoliki awamu iliyopita watu waliuawa na dhulma kwa watu na utumiaji wa mabavu sidhani kama ukatoliki unafundisha hivyo.

Ni closed mindsets ndio hushindwa tofautisha kati ya mtu na imani yake.
 
dini ya Mwenyaaazzziiiii Mungu, subhuana wataalah
 
nadhani kote ni hivyo hivyo, tunazidiana kidogo..... ila wenzetu wanajinasibu sana na Mungu as if they OWN Mungu! Mungu belongs to them... tazama Iran , eti 15,000 are to be executed for disorbidience to "Mungu" subuana wataalah!
 
Na wakatoliki wanachafua ukatoliki awamu iliyopita watu waliuawa na dhulma kwa watu na utumiaji wa mabavu sidhani kama ukatoliki unafundisha hivyo.

Ni closed mindsets ndio hushindwa tofautisha kati ya mtu na imani yake.
comparatively......... and then wakatoliki wangapi wamefanya hivyo
Angalia leo madawa ya kulevya, 99.99% ni waleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Siku zote deals huwa zinakwenda kwa mfumo wa network, na hiyo network huwajumuisha watu wenye uhusiano wa karibu kama ndugu wa damu, jamaa, au marafiki, na kama dili likiwa kubwa zaidi, basi hapo wanaweza kuongezwa watu wa pembeni, hapo ndipo unapoweza kuwakuta wasio wa dini inayofanana na wahusika.

Mara nyingi hufanya hivyo wakiamini kwamba utajiri utabaki kwa watu wao wa karibu, na hiyo hutokea kweli endapo wakifanikiwa, lakini ikiwa kinyume chake, basi hujikuta wakiishia matatizoni na kupeleka majonzi kwa ndugu zao wengine.
 
Siku zote deals huwa zinakwenda kwa mfumo wa network, na hiyo network huwajumuisha watu wenye uhusiano wa karibu kama ndugu wa damu, jamaa, au marafiki, na kama dili likiwa kubwa zaidi, basi wanaweza kuongezwa watu wa pembeni, hapo ndipo unapoweza kuwakuta wasio wa dini inayofanana na wahusika.

Mara nyingi hufanya hivyo wakiamini kwamba utajiri utabaki kwa watu wao wa karibu, na hiyo hutokea kweli endapo wakifanikiwa, lakini ikiwa kinyume chake, basi hujikuta wakiishia matatizoni na kupeleka majonzi kwa ndugu zao wengine.
Kuweni makini kuna kundi maalumu lenye maslahi binafsi linatengeneza propaganda wizi ufisadi hauna dini ndugu zangu.
 
Siku zote deals huwa zinakwenda kwa mfumo wa network, na hiyo network huwajumuisha watu wenye uhusiano wa karibu kama ndugu wa damu, jamaa, au marafiki, na kama dili likiwa kubwa zaidi, basi hapo wanaweza kuongezwa watu wa pembeni, hapo ndipo unapoweza kuwakuta wasio wa dini inayofanana na wahusika.

Mara nyingi hufanya hivyo wakiamini kwamba utajiri utabaki kwa watu wao wa karibu, na hiyo hutokea kweli endapo wakifanikiwa, lakini ikiwa kinyume chake, basi hujikuta wakiishia matatizoni na kupeleka majonzi kwa ndugu zao wengine.
Jibu Mujarab kabisa atake debate tu
 
Kwa hiyo uislamu ndio umewatuma kufanya walicho kifanya?

Aisee chuki dhidi ya waislam inadizi kuenea kwa kasi ya kushangaza.

Na cha kushangaza hii mada haitafutwa pamoja na kwamba imeletwa kwa ajili ya kuwakejeri na kuwadhalilisha waislam.

Jf imekuwa wakala mkuu wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu Afrika mashariki na kati.
Inashangaza sana sijui waislam wamewakosea nn mpaka mnawasakama kiasi hicho.
 
Pole mkuu aisee, mi huwa nashindwa niandike nini masuala ya kidini
 
Suluhishoo ni wanawake wa kiislamu kuolewa na wakristo ....pia wanawake wa kikristo kuolewa na wanaume wa kiislamu
husomagi meseji za faiza mwanamke wa kiislam kuolewa na mme wa kikisto
 
Back
Top Bottom