Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Kuna Waislamu wanachafua Uislam

A

Acha porojo, umefanya utafiti?
Unataka tafiti gani zaidi ya hizi mada zinazo funguliwa humu kwa lengo la kuudhihaki uislamu na bado zina achwa bila kuchukuliwa hatua yeyote na uongozi wa jf?
 
Unataka tafiti gani zaidi ya hizi mada zinazo funguliwa humu kwa lengo la kuudhihaki uislamu na bado zina achwa bila kuchukuliwa hatua yeyote na uongozi wa jf?
Ulienda magereza ukawakuta wenye majina hayo ni % ngapi ya wafungwa?
 
Sipendi kuziendekeza Imani ila ni kweli
Uislam unamahusiano na ujasiri
Na ukatoliki una mahusiano na Ulegevu no wonder ukiskia ni issue za Catholicism basi ni Ushoga
 
Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Bunguza bhangi wewe!!!!!
 
Kwa hiyo uislamu ndio umewatuma kufanya walicho kifanya?

Aisee chuki dhidi ya waislam inadizi kuenea kwa kasi ya kushangaza.

Na cha kushangaza hii mada haitafutwa pamoja na kwamba imeletwa kwa ajili ya kuwakejeri na kuwadhalilisha waislam.

Jf imekuwa wakala mkuu wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu Afrika mashariki na kati.
Inashangaza sana sijui waislam wamewakosea nn mpaka mnawasakama kiasi hicho.
Melo anaendekeza wagalatia wenzie, jamaa mjinga sana
 
Ni kweli ulivyosema ingawa jina la mtu alimlazimishi kuwa na Imani ya Dini husika.
Imani za Dini haziingiliani na uhalifu na waalifu,kwani wengine wana majina ya Dini lakini sio waumini wa kweli.
Ila ukiwa pale central kwa bwana afande lazima utaje dini yako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya watuhumiwa Tisa wa madawa ya kulevya waliotangazwa leo na kusaya nane Ni wakristoo mmoja muslamu [emoji41]
 
Hakuna MWIZI mwenye DINI ya kikristo au Islam, Mwizi ni MWIZI tu.

DINI ni Utaratibu wa namna ya kumwabudu Mungu, mara nyingi Utaratibu huu unaratibiwa kibinadamu na kupoteza maana halisi ya IBADA.

DINI Kwa maana ya mfumo na Utaratibu wa kuabudu itakupeleka CHINI, KUZIMU.

Yesu ndiye DINI Kwa maana ya NJIA, Kweli na uzima. Amwaminiye YESU na kuokoka akawa MTAKATIFU hawezi iba kamwe.

Nchi hii inahitaji kupata kiongozi aliyeokoka na MTAKATIFU.

Ameeeeeen.
Nilikupa likes lkn kweny Aya ya mwsho umeandika ovyo Sana stupid
 
Kweli Mkuu ata wadandia Meli kwenda Ughaibuni kwa njia za panya wengi ni Waislamu.Au wanafundishwa ujasiri uko Madrasa!!
Jibu ni kwamba, kila sehemu kuna mishe zake na watu wa eneo husika mara nyingi hujishughulisha na mishe hizo,, kwa hapa mjini dar es salaam vijana hasa wenyeji wa mji huu ni waislam, ukibisha sikushikii bakora, shughuli ya ubaharia ni kazi iliyokuwa ikipendwa sana kama nyie huko kijijini kwenu sitimbi mlivyobobea kwenye kilimo kwa kuwa kuna mashamba,, so si ajabu kukuta vijana wengi wa kiislam kukuta wanazipenda meli na si kwamba tunafundishwa madrasa,, mimi mwenyewe hapa nishatoka na ndonga(meli) beach Cape town nikaingia Singapore.
 
Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Wee udini wako wakupeleka pabaya. Na mijizi yote ya mali ya umma takriban ni Wakristo. Sasa?
Kufanya uovu ni uamuzi wa mtu binafsi, dini haihusiki.
 
Bora waislam wezi.ila wakristo wameanzisha LGBT duniani.
 
Nimegundua hauna akili,ht kidogo unaketa udini hapa...!!
 
Back
Top Bottom