Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kwa vile dini yako ya munyazmungu imesemwa?nachukizwa sana na mijadala ya dini basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile dini yako ya munyazmungu imesemwa?nachukizwa sana na mijadala ya dini basi tu
sipendi mijadala ya dini kwakuwa ni matokeo ya ukoloniKwa vile dini yako ya munyazmungu imesemwa?
Sasa hapo dini yake ina zungumzwa kwa minajili ipi kama sio upumbavu?Kwa vile dini yako ya munyazmungu imesemwa?
Una chaguo moja.nachukizwa sana na mijadala ya dini basi tu
#MaendeleoHayanaChamaJiwe angavu uzi wako huu
Hivi Dini ni majina au vitendo kwasbb naona watu wengi hubadili majina yao ili kufanya mambo yaoMimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme
zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.
pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.
Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?
Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!
Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,
Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!
Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.
Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?
Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!
Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.
Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Nakubaliana nawe unapoandika wizi na ufisadi hauna dini, na hata ukinisoma vizuri, hakuna popote kwenye andiko langu nilipotaja dini yoyote, nilijua ninachokiandika 100% nikiamini sijamkwaza yeyote na dini yake.Kuweni makini kuna kundi maalumu lenye maslahi binafsi linatengeneza propaganda wizi ufisadi hauna dini ndugu zangu.
Na hao wote utawakuta wako serious kukandia pombe ni haramu, ile nyama ni haramu sijui nini ni haramu. Ila nyuma ya pazia kumbe wao ndo haramuMimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme
zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.
pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.
Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?
Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!
Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,
Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!
Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.
Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?
Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!
Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.
Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Huslers au Robers.???Segerea kuna waislam wengi kuliko wakristo
Waislan ni hustlers,risk takers,hawaogopi kujilipua
Ni kweli ulivyosema ingawa jina la mtu alimlazimishi kuwa na Imani ya Dini husika.Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme
zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.
pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.
Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?
Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!
Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,
Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!
Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.
Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?
Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!
Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.
Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Acha porojo, umefanya utafiti?Kwa hiyo uislamu ndio umewatuma kufanya walicho kifanya?
Aisee chuki dhidi ya waislam inadizi kuenea kwa kasi ya kushangaza.
Na cha kushangaza hii mada haitafutwa pamoja na kwamba imeletwa kwa ajili ya kuwakejeri na kuwadhalilisha waislam.
Jf imekuwa wakala mkuu wa kueneza chuki dhidi ya Uislamu Afrika mashariki na kati.
Inashangaza sana sijui waislam wamewakosea nn mpaka mnawasakama kiasi hicho.
Vijana waliofyekwa nafasi za kuongoza uvccm wana hasira sana 😆😆😆Inashangaza sana sijui waislam wamewakosea nn mpaka mnawasakama kiasi hicho.
Haswaa. Lengo ni kupanua himaya yake.Shetani mara nyingi huwa ana dill na wale wanaonyesha kufanikiwa kiimani, wale waliopotea hana shughuli nao.