Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Kwa vile dini yako ya munyazmungu imesemwa?
Sasa hapo dini yake ina zungumzwa kwa minajili ipi kama sio upumbavu?

Kwamba dini ndio imewatuma wafanye mambo waliyo yafanya au?
 
Hivi Dini ni majina au vitendo kwasbb naona watu wengi hubadili majina yao ili kufanya mambo yao
 
Kwenye list ya waliochota escrow nimekuta Bank ya Mkombozi...inamilikiwa na Bakwata?
 
Kuweni makini kuna kundi maalumu lenye maslahi binafsi linatengeneza propaganda wizi ufisadi hauna dini ndugu zangu.
Nakubaliana nawe unapoandika wizi na ufisadi hauna dini, na hata ukinisoma vizuri, hakuna popote kwenye andiko langu nilipotaja dini yoyote, nilijua ninachokiandika 100% nikiamini sijamkwaza yeyote na dini yake.

Kama ushahidi unao toka kwenye nilichokiandika wa kuisema dini yoyote weka hapa, siku zote najua nachokiandika, so usiniamshe kwa sababu sijalala.
 
Na hao wote utawakuta wako serious kukandia pombe ni haramu, ile nyama ni haramu sijui nini ni haramu. Ila nyuma ya pazia kumbe wao ndo haramu
 
Hakuna MWIZI mwenye DINI ya kikristo au Islam, Mwizi ni MWIZI tu.

DINI ni Utaratibu wa namna ya kumwabudu Mungu, mara nyingi Utaratibu huu unaratibiwa kibinadamu na kupoteza maana halisi ya IBADA.

DINI Kwa maana ya mfumo na Utaratibu wa kuabudu itakupeleka CHINI, KUZIMU.

Yesu ndiye DINI Kwa maana ya NJIA, Kweli na uzima. Amwaminiye YESU na kuokoka akawa MTAKATIFU hawezi iba kamwe.

Nchi hii inahitaji kupata kiongozi aliyeokoka na MTAKATIFU.

Ameeeeeen.
 
Ni kweli ulivyosema ingawa jina la mtu alimlazimishi kuwa na Imani ya Dini husika.
Imani za Dini haziingiliani na uhalifu na waalifu,kwani wengine wana majina ya Dini lakini sio waumini wa kweli.
 
Shetani mara nyingi huwa ana dill na wale wanaonyesha kufanikiwa kiimani, wale waliopotea hana shughuli nao.
 
A
Acha porojo, umefanya utafiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…