Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.
Waliopokea mgao wamo wakatoliki wengi tu na wengine ni waendesha kitubio, je unalionaje hilo
 
Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Dini zote zinachafuliwa na wanadini husika, hata makabila yanachafuliwa na wanamakabila, kadhalika vyama vya siasa vinachafuliwa na wanavyama

Suluhisho ni kupata katiba mpya, katiba hiyo itusaidie kupata viongozi waliochaguliwa na wananchi na wasimamiwe na wananchi na kuondolewa na wananchi badala ya magenge ya wahuni waliojivika ngozi za dini, makabila na itikadi
 
Waitwe Msikitini wachapwe bakora
 
Cc Accumen Mo
 
Hata sensa ya magereza wafungwa wa kiislam tupo wengi sana. Hii sio uongo
 
ushenzi wako tu ndio unao kusumbua

kama unasema kweli tangu tupate uhuru kuanzia serikali za mitaa mpaka rais watu gani wanao shikilia nchi hii
 
Segerea kuna waislam wengi kuliko wakristo
Waislan ni hustlers,risk takers,hawaogopi kujilipua
hukiwa dar pwani tanga mtwala tabora singida mjini kweli jela majina ya waisilamu ni mengi sana

lakini ukiwa mara kwa wauaji na majambazi mwanza shinyaka kwa waua vikongwe na alibino
gelezani ni wakirisito

ukiwa kigoma mpanda sumbawanga mbeya iringa njombe songea wachuna ngozi na urawiti na kua watu kwa sababu ya mali wakinga na wabena gelezani kumejaa wakirito

ukiwa kilimanjaro majambazi gelezni ni wakirisito unapo uamua kuponda analia hata upande wa iimani yako kukoje
 
nadhani kote ni hivyo hivyo, tunazidiana kidogo..... ila wenzetu wanajinasibu sana na Mungu as if they OWN Mungu! Mungu belongs to them... tazama Iran , eti 15,000 are to be executed for disorbidience to "Mungu" subuana wataalah!
utazidi kuchunguza sana wenzio unaisahau nafusi yako huku umri wako unasonga unaisogelea kabli yako kutamaki umefukiwa chukua tahadhari na mdomo wako
 
utazidi kuchunguza sana wenzio unaisahau nafusi yako huku umri wako unasonga unaisogelea kabli yako kutamaki umefukiwa chukua tahadhari na mdomo wako
Wewe unayeamini uwepo wa Mungu ndiyo kufa kunakusumbua. We who believe in evolution, nikifa the following takes place:
 
Hii sio kweli, na kama kweli ni maana ya kukubali population ya waislam ni kubwa kuliko dini nyingne.
 
Tunaongea tukiwa pwani mkuu
 
Na wakatoliki wanachafua ukatoliki awamu iliyopita watu waliuawa na dhulma kwa watu na utumiaji wa mabavu sidhani kama ukatoliki unafundisha hivyo.

Ni closed mindsets ndio hushindwa tofautisha kati ya mtu na imani yake.
nasema uongo ndugu zangu wakatoliwatu watu wazuli sana wanamtanguliza mungu mbele mafisadi kuanzia selikali za mitaa halimashauli wabunge wakuu wa wilaya /mikoa mawaziri majaji mahakimu wakuu polisi wote hao tungu tupate uhuru nafasi hizo zote zinashikilwa na waisilamu ndio maana nchi hii aina maendeleo hata alietaka kumua lissu alikuwa muisilam wasilamu wabaya sana

kama nasema uongo ndugu zangu mnambie
 
kazi kubwa ya ukirisito ndio hiyo tambua tena hihi chuku yanayo ionyesha ni kidogo sana kuliko iliomo nafsini mwao shida yao sote tufanane tuseme yusu mungu tule nguluwe tukeshe makanisa tukicheza miziki na vilio jambo lisilo wezekana uzuli hizo chuki zao wanakufa nazo mwioyoni mwao haya wanayo yasema hapa hakuna kafiri wakupanua domo lake kuyasema huku uraiyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…