Kuna wakati maisha yanakuwa magumu hadi unaelewa kwanini baadhi ya wadada kuamua kujiuza

Kuna wakati maisha yanakuwa magumu hadi unaelewa kwanini baadhi ya wadada kuamua kujiuza

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia wateja anaweza kuwapata anaona bora niingie huku.

Anaweza asifike hatua ya kujipanga barabarani lakini aajua tu apate wapi huyo mteje, wengine watakutumia meseji mfano " Haszu ninashida kweli kweli, niko tayari kwa lolote ili mradi nipate hiyo hela niweze kutatua tatizo langu".

Najua wapo tena ndio wengi ambao wamekubuhu na wanafanya haya mambo kama biashara, ila pia naamini ipo asiimia kubwa ya waliojikuta katika hali ngumu ya maisha na wakaona hana namna ila ya kujiuza.

Eeeh Mungu, Utupe siku kwa siku riziki yetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa sisi nasi tunamsamehe kila tumwiaye. Na usitutie majaribuni [lakini tuokoe na yule mwovu].
 
Biashara ya kujiuza ilianza takribani miaka 5000 iliyo pita , hivyo wewe mtoto wa juzi hapa unapoteza mda wako hata kuizungumzia

La kuzungumzia hapa ni inakuaje mtoto wa kiume uwe na pigo za kike kike?
 
Hakuna uhalisia wowote ule eti ujiuze kisa maisha magumu siyo kweli.
Hii ni tabia ya mtu hata angekuwa anamaisha mazuri kiasi gani.

Hao wanaojiuza wengi wao wanamiliki simu si chini ya laki5 huo ni mtaji kabisa lakini anaona bora akadange.

Hata mashoga na chawa ni wanaume wanaopensa mseleleko hivyo kubutuliwa sio swala la kujiuliza mara2.

Mimi nilipitia maisha magumu mno lakini sikuwahi kupenda wala kuwaza mseleleko..

Badala yake niliingia porini kuchoma mkaa. Sasa leo hii unambie ukahaba na umalaya wako umesababishwa na maisha magumu eti nikuelewe?

Hao wasanii wenu wooote wakike na hao wa injuries wote ni wauza utamu tu.

Jiulize wanamaisha gani magumu kama sio tamaa na tabia zao?

Kama unataka ku left kundi usitafute sababu wewe left tu kwa aman ila hakikisha unahasiwa.
 
Uvivu tu na kupenda vitu wasivyovimudu 😂 wako mabinti wengi tu tuko nao shamba huko wanapiga kazi zao na wanapata riziki zao vizuri tu, maisha hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja.

Tena siku hizi wanasifia kabisa eti kwa mfano msanii "X" anadanga kwa akili anafanya maendeleo ndo tulikofikia jamani.

Ila wametusaidia bhana, kuna madem tunakula yaan kabisa rohoni unajisemea huyu manzi angejitambua hata salam yangu asingeijibu 😂 Yaan kila nikipandisha mzigo wa Pilipili Hoho Mjini nanwachia Dalali ahangahike na mzigo naenda kuogeshwa huko, kuna moja hilo liko kama Uwoya kipindi cha prime yake manina najua kabisa lingeamua kujua nafasi yake hata mkono nisingemshika ila ndo hivyo everyone has a price bhana kibingwa nacheza nalo, Yaan nikifika ile service napata kwa kweli kiroho safi nanyoosha mkono ,

Maisha ni vita , tusiwapangie silaha.
 
Hakuna uhalisia wowote ule eti ujiuze kisa maisha magumu siyo kweli.
Hii ni tabia ya mtu hata angekuwa anamaisha mazuri kiasi gani.

Hao wanaojiuza wengi wao wanamiliki simu si chini ya laki5 huo ni mtaji kabisa lakini anaona bora akadange.

Hata mashoga na chawa ni wanaume wanaopensa mseleleko hivyo kubutuliwa sio swala la kujiuliza mara2.

Mimi nilipitia maisha magumu mno lakini sikuwahi kupenda wala kuwaza mseleleko..

Badala yake niliingia porini kuchoma mkaa. Sasa leo hii unambie ukahaba na umalaya wako umesababishwa na maisha magumu eti nikuelewe?

Hao wasanii wenu wooote wakike na hao wa injuries wote ni wauza utamu tu.

Jiulize wanamaisha gani magumu kama sio tamaa na tabia zao?

Kama unataka ku left kundi usitafute sababu wewe left tu kwa aman ila hakikisha unahasiwa.
Hilo jambo lina sababu lukuki , hata swala la uchumi ni sababu moja wapo.
 
Hilo jambo lina sababu lukuki , hata swala la uchumi ni sababu moja wapo.
Labda ubakwe mkuu. Kuna wadada wengi maisha yakiwapiga wanaomba kazi kwenye migahawa kuhudumia wateja wanalipwa daily 3000 na kula bure pamoja na kulala hapo.

Wanafanya hivyo huku wakiangalia mishe zingine.

Ukikuta anajiuza kisa maisha magumu nakuambia hiyo ni tabia yake hata ukimpa hela kiasi gani bado atauza mbunye tu.

Kuna jamaa aloa muhudumu wa bar matokeo yake wameishia kugawana mali zake kwa tabia ua umalaya nk

Visa ni vingi mno.

Kama hiyo ni sababu asee wangekuwa wengi sana ama nusu ya wa Tz
 
Biashara ya kuuza miili ni kongwe kuliko zote , hivyo kuna wafanya biashara wanaifanya kwa sababu tofauti tofauti kama zilivyo sababu tofauti tofauti kwa wafanya biashara wengine tu
 
Biashara ya kuuza miili ni kongwe kuliko zote , hivyo kuna wafanya biashara wanaifanya kwa sababu tofauti tofauti kama zilivyo sababu tofauti tofauti kwa wafanya biashara wengine tu
Uko sahihi mno mkuu. Lakini kwa mtu mwenye akili timamu afya njema akinya hayo kaamua yeye mwenyewe
 
Jamani jamani nyie viumbe wa JF mtaani kugumu msichulie poa wadada wengi wanaliwa sio kwa kupenda ila dhiki tu ....mwishoe anajikuta malaya kakubuhu hajali tena.

Hivi mtu analipwa afu tatu kwa siku akipewa 20k mshahara wa week nzima unafikiri hatoi mzigo huyo???? Wakipita wadau wanne watano hajawa malaya huyo ??hajaona kawaida??? Acheni kabisa mtaani pazito nimekaa kitaa miaka minne ya msoto mkali naelewa vita yake.

Haya maisha bora yamchape mtoto wa kiume atakaza ila wakike utawaonea huruma aisee mabinti wanaliwa sana kwa ahad za ajira feki noma sana.

Ukiona mambo yako yanaenda mshukuru Mungu funga bakuli hilo.
 
Back
Top Bottom