haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika.
Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana.
Ukitaka kuoa, chagua mke mzuri, mengine ni polojo tu.