Pushup si ndo kuwa fit zaidi au.... mabaharia wamepiga pushups miaka 30, 40, 50 "kuijaza dunia" sio mchezo lazima mapafu na kinga zingine za mwili zidhoofike!
Kuna point hapa! Umeongea.Nadhani wanawake wengi wapo active kwa kuwa wanafanya lots of domestic work nyumbani na hivyo wamedevelop kinga za kutosha mwilini...
His observation inahitaji utafiti zaidii; ni kweli wanaume wengi wanakufa kwa corona kuliko wanawake, lazima kutakuwa na sababu za kisayansi!Huu ugonjwa kuna uwezekano ukawa unaathili zaidi wanaume watu wazima kuliko wanawake!
Kuna literature on that western world ya kutosha.Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Kama takwimu zinaoonyesha hivyo basi kuna haja ya utafidi zaidi ili kubaini sababu ya tofauti kati ya jinsia katika kukabili corona!Hata takwimu zinaonesha hivyo ..hilo jambo haliitaji utafiti kabisa!
kuna literature on that...... western world ya kutosha
Sasa hizo takwimu zilipatikanaje bila utafiti?🙂Hata takwimu zinaonesha hivyo ..hilo jambo haliitaji utafiti kabisa!
Corona ni ushahidi mdogo tu, lakini kiujumla Wamama waliofariki wakaacha waume ni wachache kuliko Waume waliofariki wakaacha wake.Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Mkuu hili swala ni kweli. Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuliko wanawake. Wanasema hii ni scientifically proven.His observation inahitaji utafiti zaidii; ni kweli wanaume wengi wanakufa kwa corona kuliko wanawake, lazima kutakuwa na sababu za kisayansi!!!
Kabisa! Kuna mdau Hapo juu kasema sababu ni mazoezi.His observation inahitaji utafiti zaidii; ni kweli wanaume wengi wanakufa kwa corona kuliko wanawake, lazima kutakuwa na sababu za kisayansi!!!
Nahitaji ufafanuzi zaidi kwenye hiyo glandMkuu hili swala ni kweli. Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuliko wanawake. Wanasema hii ni scientifically proven.
Nilihudhuria mahali na ikatolewa elimu na mmoja wa wataalam wa afya, na akagusia hii kitu. Kama nakumbuka alisema kuna gland ambayo mwanaume anayo, mara kirusi kinapoingia mwilini basi hupenda "kubind" na hiyo gland na matokeo yake ni kumuweka mgonjwa kwenye hatari zaidi
Endelea kuwaza hivyo hivyo ije ikung'oe kama kisikiSanasana inachomoka na wanaume alafu wazee... Tena wazee waliobweteka ambao wanakula vizuri makini mazoezi ni sifuri
Unakumbuka mtaalam alisema ni gland ipi? Sitaki kukisia!Mkuu hili swala ni kweli. Wanaume wako kwenye hatari kubwa kuliko wanawake. Wanasema hii ni scientifically proven.
Nilihudhuria mahali na ikatolewa elimu na mmoja wa wataalam wa afya, na akagusia hii kitu. Kama nakumbuka alisema kuna gland ambayo mwanaume anayo, mara kirusi kinapoingia mwilini basi hupenda "kubind" na hiyo gland na matokeo yake ni kumuweka mgonjwa kwenye hatari zaidi
Male sex identified by global COVID-19 meta-analysis as a risk factor for death and ITU admissionKama kuna literature ya kutosha inasemaje juu ya hizi tofauti?