Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye hufariki siku chache baadae.
Lakini akianza kufa mwanaume, wamama wamekuwa wakihimili kubaki hai ukiringanisha na wanaume!
Nadhani wanawake kuna kitu kinawabeba wasiathiliwe zaidi na huo ugonjwa!
Huu ugonjwa kuna uwezekano ukawa unaathili zaidi wanaume watu wazima kuliko wanawake!
Watalaam mnaweza kunielewesha zaidi.