Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

Uko single nilete posa?
 
Evelyn Salt
nisaidie kumuuliza huyu bidada yupo wapi...😅
 
KUwafunga chain hapana lakini hoja yako ya msingi ina mashiko. Mwanamke mmoja hawezi kutosheleza mahitaji ya kingono ya mwanaume sana sana kama uyo mwanamke sikumkuta bikira.

Linapokuja suala la sex wanawake wana changamoto nyingi. Mwanaume yupo tayari 24hrs lakini mwanamke mara kachoka, mara kichwa kinauma, mara yupo period mara mara mara ni nyingi sana
 
Mwanaume mwenye wake 12 aliowachagua mwenyewe hana sababu ya kutoka nje kutafuta wakati kazi zinamsubiria nyumbani.
Haya mambo ya mke mmoja tumeletewa tu na wazungu, mimi babu yangu alikua na wake 8 sasa wake wote hao uchepuke kutafuta nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…