Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Wewe umeelewa kinachoongelewa kwenye hii mada? [emoji848]Wewe umeelewa nilichokiandika mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeelewa kinachoongelewa kwenye hii mada? [emoji848]Wewe umeelewa nilichokiandika mkuu ?
Uko single nilete posa?Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
View attachment 3052534
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One leo wanaume wanafariki mapema, wanatafuta pesa na kutoka nje ya ndoa na kuhonga na kuacha kufanya mambo ya maana.
Kuna usaliti,ubarhirifu unaotokana na ubinafsi. Laity kila mwanaume angekuwa na wanawake wake watatu au wanne akawa anawalimda na yeye analidwa basi tungeishi kwa amani na wanaume wetu
Evelyn SaltKwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
View attachment 3052534
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One leo wanaume wanafariki mapema, wanatafuta pesa na kutoka nje ya ndoa na kuhonga na kuacha kufanya mambo ya maana.
Kuna usaliti,ubarhirifu unaotokana na ubinafsi. Laity kila mwanaume angekuwa na wanawake wake watatu au wanne akawa anawalimda na yeye analidwa basi tungeishi kwa amani na wanaume wetu
Na itakua hajaolewa kinachongelewa kwenye Mada hiiUfupi unamsumbua
Vizuri kula na wenzio✅Kwangu Mimi hapana kwa kweli binamu.
Akuuu.Vizuri kula na wenzio✅
KUwafunga chain hapana lakini hoja yako ya msingi ina mashiko. Mwanamke mmoja hawezi kutosheleza mahitaji ya kingono ya mwanaume sana sana kama uyo mwanamke sikumkuta bikira.Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
View attachment 3052534
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One leo wanaume wanafariki mapema, wanatafuta pesa na kutoka nje ya ndoa na kuhonga na kuacha kufanya mambo ya maana.
Kuna usaliti,ubarhirifu unaotokana na ubinafsi. Laity kila mwanaume angekuwa na wanawake wake watatu au wanne akawa anawalimda na yeye analidwa basi tungeishi kwa amani na wanaume wetu
Umeyasahau maferministukweli mtupu sister ila slay queens, wadangaji watakupinga
Haya mambo ya mke mmoja tumeletewa tu na wazungu, mimi babu yangu alikua na wake 8 sasa wake wote hao uchepuke kutafuta nini.Mwanaume mwenye wake 12 aliowachagua mwenyewe hana sababu ya kutoka nje kutafuta wakati kazi zinamsubiria nyumbani.