Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado.


Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako unagundua haujaoa bado Ila ulikurupuka tu.

Unanunua gari ambalo unaamin ni zuri mwanzo ,Ila siku unaona gari analotembelea rafiki yako ,unabaki kusema sina gari bado.

Kila hatua ni hatua all you need is to embrace the ride na kushukuru.


Uzuri na ubaya upo zaidi katika akili pamoja na hisia. Unabidi kujifunza kuviendesha hivi vitu ili usipate stresss ambazo sio za lazima.

Kila MTU anapambana Kwa imani (Faith) na hakuna mwenye uhakika wa baadae Ila tunaimani tutafika salama so embrace a faith

Tenga muda mzuri wa kufikiria na ushukuru kwa kila hatua ya maisha yako uliyopo na uliyokuepo.

Practice the gratitude as you can and take time to think is the source of power
 
Muwe na siku-kuu njema ,wewe pamoja na familia yako.

Sehemu ya uhaba Ukajaziliwe na sehemu penye ugonjwa ukakae uzima.
 
siku zote fanya kitu kwa moyo wako wote,akili zako zote na nguvu zako zote.

leo hii kama ulitumia kanuni hiyo,hata ukiitizama simu uliyonunua miaka 6 nyuma bado utakubali ulitulia.
 
Back
Top Bottom