Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

- Ukishaona wakili anakwambia "hii kesi hufungwi" huyo sio wakili ni taka taka. Wakili mzuri ni yule ambaye anakushauri cha kujitetea. Suala kwamba utafungwa au la ni la mahakama, sio wakili.

- Ukishaona Wakili anatoa utetezi kabla hata hajajua mtuhumiwa atashitakiwa kwa makosa gani na ushahidi uliopo ni upi huyo sio wakili ni takataka.
 
Kikubwa apambane, I remember kuna MTU alihukumiwa kunyongwa then alichomoka kwa rufaa baada ya kukubali mvua ya miaka miwili ,kuua bila kukusudia.
 
Kwenye kesi za mauwaji kuna Premeditated na provocation. Ndo ataponea huyo dogo Kama mahakama itatenda haki.
 
Kwenye kesi za mauwaji kuna Premeditated na provocation. Ndo ataponea huyo dogo Kama mahakama itatenda haki.
Tuelezee kwenye izo aina mbili za kesi za mauwaji ndo inakuaje ili tupate madini kwa sisi ambao sio wataalamu wa Sheria
 
watakupata wapi mkuu wakati wewe upo zako huko bunda vijijini hata kawe yenyewe hujawahi kufika unafanya kuisikia tu kwenye redio.
Cookie, Payge na JamiiForums Founder Maxence Melo rejeeni Mrejesho wangu Kwenu katika PM kuhusu hii ID ya huyu Member na zile zingine Nane nilizowatajieni.

Nitashukuru.
 
Sawa je, utaalamu na utetezi wako Wewe Wakili usiye Takataka ni upi?

Miswahili bhana.....!!
 
Cookie, Payge na JamiiForums Founder Maxence Melo rejeeni Mrejesho wangu Kwenu katika PM kuhusu hii ID ya huyu Member na zile zingine Nane nilizowatajieni.

Nitashukuru.
Halafu nikipigwa ban baada ya wiki mbili unamiss comment zangu unakuja fekero yako unaanzisha Uzi " Hivi@Likud yupo wapi siku hizi"
 
Tuelezee kwenye izo aina mbili za kesi za mauwaji ndo inakuaje ili tupate madini kwa sisi ambao sio wataalamu wa Sheria

Premeditated ni unakusudia na mipango kabambe unaiweka ya mamna ya kuwa israel mtoa roho

Provocation ni hujakisudia ila temper ya gafla inakufanya uwe Israel I mean ni kama unajibizana na mtu then unachapa kofwi kumbe na israel ndo siku yake hiyo ya kutimiza majukumu yake ya kila siku.

I stand to be corrected as am not
a jurist.
 
akishinda kesi,ukimfuata wewe kama wakili kumdai pesa zako{malipo kwa uwakili wako} na wewe unakula kisu cha shingo!!!
 
Tumepoteza gharama kubwasana mtu kuandaliwa kuwa kanali simchezo na achomwe na kisu

Mungu amrehemu
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…