Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajjshika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa kumjua kuwa alikuwa ni Mwanajeshi na Yeye Kato Rasta akaamua Kujilinda na kupelekea Umauti wako. Kato Rasta aseme kuwa ulikuwa ni Ugomvi hivyo kila Mtu akaamua Kujitetea. au Waambie Ndugu zake wanitafute na Nitamtetea na wala Hatofungwa. Kesi imekaa vizuri sana Kwake Kato Rasta kushinda ila Ajiamini na Asiogope kwani ni Kesi nyepesi sema tu inaonekana ni Kubwa na inatisha kwakuwa inamhusisha huyo Afisa wa JWTZ na huenda JWTZ nao wakaipambania japo kwa mazingira nao JWTZ haiwahusu sana kwakuwa Aliyekufa hakuwa Kazini kwa wakati huo na hakuvaa Sare zao hivyo ni Tukio la Uraiani ( Nje )" amesema Wakili Nguli ambaye GENTAMYCINE namhifadhi kwa sasa.

Haya Ndugu zake na Dogo Kato Rasta / Rasta Mayele mmeshapewa tayari Maujanja hivyo yawasilisheni Kwake ili awe Huru.

Je, huyu Wakili Nguli yuko sahihi au?
- Ukishaona wakili anakwambia "hii kesi hufungwi" huyo sio wakili ni taka taka. Wakili mzuri ni yule ambaye anakushauri cha kujitetea. Suala kwamba utafungwa au la ni la mahakama, sio wakili.

- Ukishaona Wakili anatoa utetezi kabla hata hajajua mtuhumiwa atashitakiwa kwa makosa gani na ushahidi uliopo ni upi huyo sio wakili ni takataka.
 
achana na mawakili waongo hao. anaongea wakati kilichoandikwa kwenye jalada si ukute ni tofauti, akijichanganay anafungwa kunyongwa wakati wakili anaenda zake home. kwa kifupi ni kwamba kesi zote za mauaji hata kama hauna uwezo kuajiri wakili, serikali huwa inamlipa wakili kwa ajili yako. na utetezi pekee alionao yeye hapo, kwa uzoefu wangu na picha ninayoiona hata kama sijaona jalada, ni either provocation na kesi itashuka toka murder kuwa manslaughter, na atakaa gerezani kwa muda fulani. adhabu ya juu ya manslaughter ni life imprisonment, ila kulingana na circumstances inaweza kushuka hadi miaka kadhaa.

asije kujaribu kuweka self-defence, wakati ametumia excessive force, pia asije kujiroga wakati kesi inashushwa kwenda manslaughter akagoma kwamba anataka murder iendelee ili awe acquitted, atakuwa kwenye hatihati ya fiftyfifty kwasababu kesi na influence ya wajeda wataifuatilia hadi mwisho.

nilikiuwa naangalia kama kuna transferred malice, ila naona ipo mbali sana kwasababu kwa story ilyotolewa humu inaonekana kisu alichotumia kumuua mjeda alikuwa amekiandaa kabisa kwenda kumchomea mwizi wa bajaji yake hivyo mjeda aliambulia tu.

pia kwenye haya mambo, watu wameongea mengi, shetani/mchawi akiamua kukutafuta atakutafutia sababu kibao, kama mjeda alikua amepandishwa cheo anaenda kureport, imebaki siku moja aondoke ndio ameenda kutengeneza gari ya kusafiria, ndo mauti inamkuta hapo, kwa wabongo ni ngumu kuamini kwamba hapakuwa na mtego wa mwindaji kwenye ulimwengu wa roho. nawaza tu kitanzania. kato si ukute ameambulia tu ila kuna mtu alisharusha ndumba hapo anakitaka icho cheo. ndo maana tunawaambia watu wakae na Mungu, hakuna uchawi ukimwamini Yesu Kristo, wachawi wakisikia Jina la Yesu wanakimbia hadi wanajisaidia ovyo. Okokeni, kuna faida nyingi hata kama hautapata mengi ya dunia hii.
Kikubwa apambane, I remember kuna MTU alihukumiwa kunyongwa then alichomoka kwa rufaa baada ya kukubali mvua ya miaka miwili ,kuua bila kukusudia.
 
Kwenye kesi za mauwaji kuna Premeditated na provocation. Ndo ataponea huyo dogo Kama mahakama itatenda haki.
 
Kwenye kesi za mauwaji kuna Premeditated na provocation. Ndo ataponea huyo dogo Kama mahakama itatenda haki.
Tuelezee kwenye izo aina mbili za kesi za mauwaji ndo inakuaje ili tupate madini kwa sisi ambao sio wataalamu wa Sheria
 
watakupata wapi mkuu wakati wewe upo zako huko bunda vijijini hata kawe yenyewe hujawahi kufika unafanya kuisikia tu kwenye redio.
Cookie, Payge na JamiiForums Founder Maxence Melo rejeeni Mrejesho wangu Kwenu katika PM kuhusu hii ID ya huyu Member na zile zingine Nane nilizowatajieni.

Nitashukuru.
 
- Ukishaona wakili anakwambia "hii kesi hufungwi" huyo sio wakili ni taka taka. Wakili mzuri ni yule ambaye anakushauri cha kujitetea. Suala kwamba utafungwa au la ni la mahakama, sio wakili.

- Ukishaona Wakili anatoa utetezi kabla hata hajajua mtuhumiwa atashitakiwa kwa makosa gani na ushahidi uliopo ni upi huyo sio wakili ni takataka.
Sawa je, utaalamu na utetezi wako Wewe Wakili usiye Takataka ni upi?

Miswahili bhana.....!!
 
Tuelezee kwenye izo aina mbili za kesi za mauwaji ndo inakuaje ili tupate madini kwa sisi ambao sio wataalamu wa Sheria

Premeditated ni unakusudia na mipango kabambe unaiweka ya mamna ya kuwa israel mtoa roho

Provocation ni hujakisudia ila temper ya gafla inakufanya uwe Israel I mean ni kama unajibizana na mtu then unachapa kofwi kumbe na israel ndo siku yake hiyo ya kutimiza majukumu yake ya kila siku.

I stand to be corrected as am not
a jurist.
 
"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa kumjua kuwa alikuwa ni Mwanajeshi na Yeye Kato Rasta akaamua Kujilinda na kupelekea Umauti wako.

Kato Rasta aseme kuwa ulikuwa ni Ugomvi hivyo kila Mtu akaamua Kujitetea. Au Waambie Ndugu zake wanitafute na Nitamtetea na wala Hatofungwa. Kesi imekaa vizuri sana Kwake Kato Rasta kushinda ila Ajiamini na Asiogope kwani ni Kesi nyepesi sema tu inaonekana ni Kubwa na inatisha kwakuwa inamhusisha huyo Afisa wa JWTZ na huenda JWTZ nao wakaipambania japo kwa mazingira nao JWTZ haiwahusu sana kwakuwa Aliyekufa hakuwa Kazini kwa wakati huo na hakuvaa Sare zao hivyo ni Tukio la Uraiani ( Nje )" amesema Wakili Nguli ambaye GENTAMYCINE namhifadhi kwa sasa.

Haya Ndugu zake na Dogo Kato Rasta / Rasta Mayele mmeshapewa tayari Maujanja hivyo yawasilisheni Kwake ili awe Huru.

Je, huyu Wakili Nguli yuko sahihi au?
akishinda kesi,ukimfuata wewe kama wakili kumdai pesa zako{malipo kwa uwakili wako} na wewe unakula kisu cha shingo!!!
 
Tumepoteza gharama kubwasana mtu kuandaliwa kuwa kanali simchezo na achomwe na kisu

Mungu amrehemu
 
"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa kumjua kuwa alikuwa ni Mwanajeshi na Yeye Kato Rasta akaamua Kujilinda na kupelekea Umauti wako.

Kato Rasta aseme kuwa ulikuwa ni Ugomvi hivyo kila Mtu akaamua Kujitetea. Au Waambie Ndugu zake wanitafute na Nitamtetea na wala Hatofungwa. Kesi imekaa vizuri sana Kwake Kato Rasta kushinda ila Ajiamini na Asiogope kwani ni Kesi nyepesi sema tu inaonekana ni Kubwa na inatisha kwakuwa inamhusisha huyo Afisa wa JWTZ na huenda JWTZ nao wakaipambania japo kwa mazingira nao JWTZ haiwahusu sana kwakuwa Aliyekufa hakuwa Kazini kwa wakati huo na hakuvaa Sare zao hivyo ni Tukio la Uraiani ( Nje )" amesema Wakili Nguli ambaye GENTAMYCINE namhifadhi kwa sasa.

Haya Ndugu zake na Dogo Kato Rasta / Rasta Mayele mmeshapewa tayari Maujanja hivyo yawasilisheni Kwake ili awe Huru.

Je, huyu Wakili Nguli yuko sahihi au?
Chai
 
Back
Top Bottom